
MATHAYO 20
32.Yesu Akasimama,akawaita akasema mnata niwafanyie nini?
33.Wakamwambia ,Bwana twataka macho yetu yafumbuliwe.
34.Yesu alawahurumia ,akawagusa macho yao;mara wakapata kuona,wakamfuata
BABA asante kwa somo jioni hii ya leo.

Tunaweza kujiuliza kwanini Yesu aliwauliza swali hili hali akijua ni vipofu?
Ingawa ni vipofu hitaji lao lingeweza lisiwe la kuona.
Nia ya Yesu ni utambue hitaji lako na kulitaja wazi mbele zake.
Sasa YESU anakuuliza nawe,pamoja na kuwa anaifaha mu hali unayopitia lakini anataka kusikia toka kinywa chako,nia yake ni wewe kueleza shida zako kwa kinywa chako na kutaja wazi mbele yake.
Anakuuliza unataka akufanyie nini?
Mwambie hitaji lako sasa,ATAKUSAIDIA.
JIONI NJEMA MBARIKIWE
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app