Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
10/McDonald's Corp.
Kwa watoto wa kiahua au watu waliozoea mboga saba hakuna asiyeijua McDonald's ....ni kampuni kubwa ya migahawa iliyosambaa duniani
Ni kampuni inayomilimiwa na Wamarekani na ambayo Kwa mwaka hupata mapato yanayokadiriwa kufikia USD 28.2 Billion
Imeajiri wafanyakazi takribani 440,000 katika ajira rasmi ila wapo wengine takribani milion wanaoitegemea kuendesha maisha yao
Demu anayetaka pizza anifuate PM
......