7/
Agricultural Bank of China Ltd
Wachina tena !!!
Hawa jamaa kwenye masuala ya kibenki washajiimarisha tukizubar tu tutakuta tunajazana kwenye benki zao kuweka pesa
Baada ya kuwa na benki kubwa ya viwanda na biashara(ICBC) sasa tupo kwenye benki ya Wakulima(kilimo)
Wakati bongo ngobjera za kilimo nyingi bila vitebdo matokeo yake wakulima hawana pembejeo wenzetu wao ni vitendo tu(saying loud doing nothing).....wenzetu ni doing everything talking nothing
Kwa mwaka benki hii ya kilimo mapato yake hufikia USD 68 billion
Imeajiri watu 479,000
.
Wakulima wa bongo msione wivu.... endeleeni kuozewa na nafikiri yenu
Hamjalazimishwa kulima !!!
........