Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
EwaaaaUnataka simu gani Jimena
EwaaaaUnataka simu gani Jimena
asante sana, kile kipindi cha magazeti na leo katika historia bado kipo?Karibu tena
Long time sana sijakusoma
That's my manHahahaa!
Wala mkuu!
Ila ninahitaji furaha tuu! She is my happyness day and night.
Nafahamu dadangu, asante sanaWowa kwanza...
Na mie Nakupenda Kakangu
Hebu mwimbie jimena bhana, anataka wimbo etiNi wa kipekee sana
Si maana hiyo.. Lakini je ni sababu zipi za kudumu hapa?Hupendi tunavokita kambi au sio
Ooh! I am doing cool bruh, how's yo day bruh?Nothing much man, what's up with you?
Ya embe lovieJuice ya embe au ukwaju?![]()
Nitaanza kusema i love you kwa lugha 12 ujue..Love you
HahahaPole pole..
Watu wakizimia humu ujue hakuna ambulance![]()
Karibu KakanguNafahamu dadangu, asante sana
Subiri dada mimi simba mwenda poleHebu mwimbie jimena bhana, anataka wimbo eti
Yaani nikikosa hapa huko mtaani ndio basi tena
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
atakupa mumyInatoshaNitaanza kusema i love you kwa lugha 12 ujue..
Kama mataifa ya izrael..
Nimefurahi kusikia haya...Jimena, Jimenes unajua ni nini!
Nimefungua simu tu nikakutana na post yako;
Kilichotokea moyo umeenda mbio Jimena, nilikosa la kukujibu na imenibidi ninywe maji ya baridi ndipo sasa angalau mapigo yanaenda sawa.
Jimena;
-ulikuwa wapi mpendwa!
-nini kilikusibu?
-nimeuliza uliza kwa rafiki zako
-hadi pacha wako nimempigia
Kila mara nachungulia humu nikuone lakini wapi.
Nimefarijika kukuona hapa![]()
Moyo wangu umejaa![]()
Nafsi yangu imechangamke
Jimena, Jimenes majina yako yalivyo matamu.
Hebu sema neno roho yangu ipone jamani
OoohSubiri dada mimi simba mwenda pole
Pole na karibu tenahapana sio new member, ila wakati makapuku inaanzishwa mwanzoni nilikuwa naingia sana ila hapa katikati sijaingia kutokana na majukumu
Hiyo ni presha Jimena wala usitamaniBado wanaendelea na hilo zoezi??
Do you love me??Uliza Jimena
...maandishi yako nami yamenifanya nijisikie kuumwa, uko wapi nije uniandikie dawa?
