shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Mwambie tuHahaha
Mwambie tuHahaha
Ulikuwa ni ombi la SIMU,NA ULIPOFIKA TU UKATOA TAARIFA UMENUNUAHuo ujumbe wangu uko wapi sasa?
Njema pole na majukumu.karibu
Sent from my caterpillar using JamiiForums mobile app

Nipm tena ile ya Jana sijaWatu na pilikapilika tu
Nilienda benki kurejesha pesa ya Escrow km Wille
![]()
![]()
......
Maji tu yanatoshaMama unakunywaga soda gani
GoodAsante Mama Mchungaji. Asante kwa kuwa mwombezi wetu. Asante kwa ushauri wako. Asante kwa upendo wako. Asante kwa bashasha zako. Asante kwa kusimama katika kweli daima. Asante kwa kila kitu.
Mimi sijakwazwa na mtu humu na daima nitabakia kuwa kapuku tu. Tuko pamoja Mama Mchungaji. Tuendelee kuombeana na kusameheana bila kuchoka. Nami kama kuna kapuku nilimkwaza humu, naomba nisamehewe.
Nakupenda pia mwanangu,nafarijika ukifurahiUbarikiwe mama... Mie nakupenda
Watu na simu zetu
Ma-pro mmekutanaNapigwa ushairi![]()
![]()

Ngoja binti yangu S akupe nambaPost # ngapi?
Wewe taratibuu baby usije ukadondosha vitu huko ndani![]()
Nami siko nyumaIlitokea tu, tena kwa member wengi
Tatizo la hizo gari mwaka mmoja tu kwishaWachina hatari sana
Kwenye usafirishaji keshaanza kutawala now kuna Yutong,Zhongthong,Higer n.k akina Scania,Toyota wanabaki kujiuliza tu
Mi nikielekea Mbeya ni Rungwe(Yutong) au New Force{ZhongThong) tu ndani yapo swaafi wakati Mascania yapoyapo tu yanatambia ubora(kudumu)
Wachina noma sana
..........
Huwa wanatangaza ,wakitangaza nitakwambia maana inaonekana kuna watu fulani huitwa mimi niliitwa na rafiki yangu fulaniBado wanaendelea na hilo zoezi??
![]()
![]()
ukiona hivi ujue mgonjwa kapata nafuu,demi yupo kwenye mitala uctafute matatizo

LolMa-pro mmekutana![]()
Sasa wanaleta benkiWachina hatari sana
Kwenye usafirishaji keshaanza kutawala now kuna Yutong,Zhongthong,Higer n.k akina Scania,Toyota wanabaki kujiuliza tu
Mi nikielekea Mbeya ni Rungwe(Yutong) au New Force{ZhongThong) tu ndani yapo swaafi wakati Mascania yapoyapo tu yanatambia ubora(kudumu)
Wachina noma sana
..........