Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hivi karibuni ilifanya utambulisho mahali hapa DSM,Masharti yao ilikua ulipee pesa,watakupa mashine unayohitaji kwa shughuli zako na wanakufungulia akaunti unakua mbia,bado mchakato unaendelea nia yaobilikua kupata wateja

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Wachina hatari sana
Kwenye usafirishaji keshaanza kutawala now kuna Yutong,Zhongthong,Higer n.k akina Scania,Toyota wanabaki kujiuliza tu
Mi nikielekea Mbeya ni Rungwe(Yutong) au New Force{ZhongThong) tu ndani yapo swaafi wakati Mascania yapoyapo tu yanatambia ubora(kudumu)
Wachina noma sana
..........
 
Nashukuru umeshamnunulia simu ya hadhi Sakayo wa T,simu yake ikiita kama yuko mbele za watu anatoka kwenda mahali kusikiliza,kama kuchat anachat ndani ya pochi kama mimi..ameomba sana umnunulie nyingine Mungu akubariki kwa ununuzi huo

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Oooooh! I got it mama..

Nimeinunua juzi na jana nilipost humu..
 
8/ISS A/S
57ebbcb499917e687fe71342d15677fd.jpg
7d3a0d91fa75ed6d9765818757343e37.jpg
2f38a73fdbe2f0ea9deac08dd054441f.jpg

Ilianzishwa mwaka 1901
Hii ni kampuni ya Kidenmark inayojihusisha na utoaji wa huduma tofauti tofauti yaani ni kama kampuni tanzu ya Azam ambayo kwenye media IPO,kwenye usafirishaji IPO,kwenye viwanda IPO.......sasa na hii ndo Hivyo hivyo imewekeza sehemu mbalimbali duniani tena katika sekta na maeneo mbalimbali
Mapato yake hufikia USD 15 billion Kwa mwaka
Imeajiri wafanyakazi 464,000

************
Matajiri huwa hawadharau kuwekeza hata kwenye biashara ya pili,viwembe ,pini n.k wakati wenye akili finyu hukimbilia kuwekeza tu kwenye biashara kubwakubwa na kudharau biashara ndogo mfano kuuza karanga
. . ... ...
We call it group of campanies..
 
Wachina hatari sana
Kwenye usafirishaji keshaanza kutawala now kuna Yutong,Zhongthong,Higer n.k akina Scania,Toyota wanabaki kujiuliza tu
Mi nikielekea Mbeya ni Rungwe(Yutong) au New Force{ZhongThong) tu ndani yapo swaafi wakati Mascania yapoyapo tu yanatambia ubora(kudumu)
Wachina noma sana
..........
Wanajitahidi sana, sasa waweza vaa suit kuanzia dar to mkoani, Higer ni full kiyoyozi, wifi, charging system nk
 
Jimena, Jimenes unajua ni nini!
Nimefungua simu tu nikakutana na post yako;
Kilichotokea moyo umeenda mbio Jimena, nilikosa la kukujibu na imenibidi ninywe maji ya baridi ndipo sasa angalau mapigo yanaenda sawa.
Jimena;
-ulikuwa wapi mpendwa!
-nini kilikusibu?
-nimeuliza uliza kwa rafiki zako
-hadi pacha wako nimempigia
Kila mara nachungulia humu nikuone lakini wapi.

Nimefarijika kukuona hapa
Moyo wangu umejaa
Nafsi yangu imechangamke
Jimena, Jimenes majina yako yalivyo matamu.
Hebu sema neno roho yangu ipone jamani
Sakayo huwa anasema "Ewaaaaaaa"
 
Kho Kho Kho Kho Kho Kho

Jimena comeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom