Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shunie...I Love you,you mean alot to me God Bless you...having a baby is God's Grace and Blessings and you come to know exactly what LOVE means.....I LOVE YOU MY BABY GIRL....GOD LOVES YOU
When am counting my blessings i double u twice, u such a great gift God gave me. I love u much mum
 
MUNGU BABA MWENYEZI Asante kutuamsha salama,tutakase kwa damu takatifu ya mwanao,tuongoze,tufufundishe ,tusimamie tupe moyo safi tutende mema,tufanye kazi kwa bidii,tutengeze amani kwa gharama yoyote,tuchukuliane kwa upendo na tuwasamehe wanaotukosea kama wewe unavyotusamehe,tuepushe na hatari zote za mwili na roho.

Asante maana utatenda sawa na mapenzi yako,mapenzi yako yatimizwe katika jina la Yesu,Amen SIKU NJEMA MBARIKIWE
barikiwa na wewe mama
 
WARUMI 15

7.Kwahiyo mkaribishane ninyi kwa ninyi ,kama naye Kristo alivyotukaribisha,ili MUNGU atukuzwe.

8.Kwamaana nasema ya kwamba Kristo amefanyika mhudumu wa agano la kutahiriwa kwa ajili ya kweli ya Mungu ,kusudi athibitishe ahadi walizopewa baba zetu.

9.Tena ili mataifa wamtukuze Mungu kwa ajili ya rehema zake,kama ilivyoandikwa,kwa hiyo nitakushukuru kati ya mataifa,nami nitaliimba jina lako .

10.Na tena anena Furahini ,Mataifa pamoja na watu wake.

11.Na tena Enyi Mataifa yote,msifuni BWANA,Enyi wote mhimidini.

12.Na tena Isaya anena,litakuwapo shina la Yese Naye aondokeaye kuwatawala Mataifa,Ndiye Mataifa watakayemtumainia

13.Basi MUNGU wa tumaini na awajaze ninyi furaha yote na amani,katika kuamini ,mpate kuzidi sana kuwa na tumaini,katika nguvu za Roho Mtakatifu.

MUNGU AWABARIKI MCHANA MWEMA
 
Shunie ,tumosa mko wapiii eti wanasema IBRA kafa jamani uwiiiiiii..........hadi naogopa wallahi mungu wanguuuu weeee
Uwiiiii we husna ibra juzi katuonyesha cheti kifua kimembana jamaan sitaki kuamini ibra Mungu wangu

Jamaan kama kuna niliyemkosea tusameheane maisha mafupi sana leo tunacheka kesho hatupo kama umenikosea nimekusamehe ibra sitaki kuamini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom