Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuna siku nilisikia walifanya jaribio la kurusha ndege Ila ndege hiyo ikashindwa kuruka. Hivi ni kweli au propaganda tu za hivi vyombo vyao vya habari?? Na kama ni kweli Korea wako serious kweli??
Aunt....sio ndege lilikuwa ni kombora H 10 na ni kwelii lilishindwa kuruka kitu ambacho kilibezwa sana hasa nchi zinazomfatilia huyu jamaa ikiwemo ya Trump ...ni kawaida kutest mambo kabla ya kuuingia kwenye battle ...ila soon liliruka kama kawaida na baada ya wiki mbili nakumbuka ulikuwa mkutano wa G8 jamaa akayarusha ...

Jana ndo ilikuwa komesha make ata hilo la jana mwanzoni liligoma kuruka ...ila hili lina impacts kubwa ndo maana mpaka state wameamua kukutana ...japo mzee mapanki aliwafanyia suprise kwenye kumbukumbu za uhuru wa Marekani ...
 
Leo katika historia

5/7/1970 uzembe wasababisha ajali ya ndege ya Air Canada na kupelekea vifo vya watu 108
ab6d73adf8d00ffb8fde77baa3a040c7.jpg
8cc206a686a5924e7132f5f046b7c2f0.jpg
353ebfd1b0d32071c32082ea516fd861.jpg
Moja kati ya ajali mbaya za ndege katika historia
.......
 
Jana katika hitoria ; Marekani ilikuwa inasherehekea uhuru wake na kitu kilichotrend ni NK wale wapenzi wa gazet la sani hapa ndo penyewe ....walirusha kombora la masafa marefu na imetia jambajamba kwa Marekani ....mwemyewe anasema hivii....

Kim Jong un: Jaribio la kombora ni zawadi kwa Wamarekani siku yao ya Uhuru....

Twende wote ...
574d1d76aae42b30b7dcc84763b42ec2.jpg


Marekani imethibitisha kwamba Korea kaskazini ilifanyia jaribio kombora la masafa marefu ambalo kulingana na wataalama wanaamini linaweza kufika Alaska Marekani.

Waziri wa maswala ya kigeni amelitaja jaribio hilo kuwa vitisho vipya kwa Marekani na dunia na kuonya kwamba Washington haitakubali hatua ya Korea Kaskazini kujihami na nyuklia.

Pyongyang imedai siku ya Jumanne kwamba ilifanikiwa kulifanyia majaribi kombora lake la masafa marefu ICBM.

Wakijibu, Marekani na Korea Kusini zilirusha makombora kusini mwa maji Korea.

Zoezi hilo la kijeshi la pamoja lililenga kuonyesha uwezo wa mashambulizi ya mataifa hayo mawili, Pentago imesema.

Ijapokuwa jaribio la Jumanne lilionekana kuwa hatua kubwa ,wataalam wanaamini kwamba Korea kaskazini haina kombora la masafa marefu la kinyuklia.

Bwana Tillerson pia alionya kwamba taifa lolote ambalo linasaidia kiuchumi na kijeshi Korea kaskazini ama limefeli kuidhinisha kwa ukamilifu maamuzi ya baraza la usalama ya Umoja wa Mataifa linasaidia utawala hatari.

Marekani imetaka kufanyika kwa mkutano wa dharura wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kujadili swala hilo.

Mkutano wa faragha wa wanachama wa baraza hilo unatarajiwa baadaye siku ya leo jumatano....

Je Korea kaskazini ilisema nini siku ya Jumanne?

Tangazo hilo katika runinga ya taifa ya Korea kaskazini lilisema kuwa kombora hilo aina ya Hwasong -14 linaloweza kurushwa kutoka bara moja hadi jingine lilisimamiwa na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un.

185a7dc10c9e1f8d79f1775fcdd4be0b.jpg


Ilisema kuwa kombora hilo liliruka umbali wa kilomita 2,802 na kusafiri kwa umbali wa kilomita 933 kwa dakika 39 kabla ya kuanguka baharini.

Korea Kaskazini imesema kuwa ni taifa lililojihami kinyuklia ambalo linamiliki kombora la masafa marefu linaloweza kushambulia eneno lolote duniani.

Marekani yaionya vikali Korea KaskaziniManowari za Marekani hazikuelekea Korea KaskaziniMarekani na Korea Kaskazini nini kimebadilika?

Chombo cha habari cha Korea kaskazini KCNA baadaye kilimnukuu Kim jong un akisema kuwa jaribio hilo ni zawadi kwa Wamerakani siku yao ya uhuru .

Jaribio hilo ambalo ni miongoni mwa majaribio ya makombora yake linakiuka marufuku ya baraza la usalama la Umoja wa Mataifa.

Lakini wataalam wengi wanaamini kwamba Pyongyang bado haijakuwa na uwezo wa kutengeza kichwa cha kinyuklia kinachoweza kutosha katika kombora la masafa marefu na kwamba kombora kama hilo haliwezi kushambulia eneo linalolenga.

Usichokee

Je kombora hilo lina uwezo wa kusafiri umbali gani?

Je linaweza kushambulia Marekani?.

David Wright , kutoka muungano wa kisayansi anasema kuwa iwapo ripoti hiyo ni ya sawa ,kombora hilo linaweza kusafiri kwa umbali wa kilomita 6.700.

''Umbali huo unaweza kulifanya kufika Alaska, lakini sio visiwa vya Hawaii ama hata majimbo mengine 48 ya Marekani'',alisema.

''Sio kombora pekee ambalo Korea Kaskazini itahitaji'', mwandishi huyo anasema.

Pia ni lazime iwe na uwezo wa kulinda kichwa cha nyuklia kinapopaa angani na sio wazi iwapo Korea kaskazini ina uwezo huo....

Chini ni mchoro kuonesha uwezo wa ICBM kusafiri

4583f96f32774bd0683653e8e87405f9.jpg
Yetu macho na masikio tucheki mwisho wake cjui hill movie litaishajeeee
 
Aunt....sio ndege lilikuwa ni kombora H 10 na ni kwelii lilishindwa kuruka kitu ambacho kilibezwa sana hasa nchi zinazomfatilia huyu jamaa ikiwemo ya Trump ...ni kawaida kutest mambo kabla ya kuuingia kwenye battle ...ila soon liliruka kama kawaida na baada ya wiki mbili nakumbuka ulikuwa mkutano wa G8 jamaa akayarusha ...

Jana ndo ilikuwa komesha make ata hilo la jana mwanzoni liligoma kuruka ...ila hili lina impacts kubwa ndo maana mpaka state wameamua kukutana ...japo mzee mapanki aliwafanyia suprise kwenye kumbukumbu za uhuru wa Marekani ...
Ndio lilikuwa kombora nimeshakumbuka.

Mapanki ni shida nyingine hapa duniani walahi
 
HV kweli Mugabe anawrza kusema hivyo??!!

Nahisi mengine huwa wanamsingiziaga bwana
Anasema sana,kuna siku walimuuliza kwanini hajaachia madaraka akasema hili swali ni kwa viongozi waafrika tu...mbona malkia Elizabeth haulizwi...niambie atatoka lini madarakani?

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom