BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
HasaaaaYetu macho na masikio tucheki mwisho wake cjui hill movie litaishajeeee
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
HasaaaaYetu macho na masikio tucheki mwisho wake cjui hill movie litaishajeeee
Ahsante dear vp umeamka salama lkn
Mama mchuchu leo naona unatumia tecno ...kesho itel si etiii ??
Kesho kutwa vodafone...mitala ya simuMama mchuchu leo naona unatumia tecno ...kesho itel si etiii ??
Leo katika historia
5/7/1775 Muigizaji Sara Kembie anazaliwa
Leo katika historia
5/7/1775 Muigizaji Sara Kembie anazaliwa
Mungu kaniamsha salama namshukuru vipi wewe unaendeleaje?ubarikiwe..na vikwazo vyote kazini Mungu aingilie kati NAKUOMBEAAhsante dear vp umeamka salama lkn
Shululu Wa tumosaAsante mama and
Mme mwee Wa leeMorning mama mchungaji
Tuko poa kabisa, mambo VP?Mko poa ndugu zangu?
Mojawapo UrusiLakini zipo nchi zilizo kimya ambazo zinaweza kumtuliza bwana mdogo
Naendelea vzr kiasi niko ila roho haina amani I don't know whyMungu kaniamsha salama namshukuru vipi wewe unaendeleaje?ubarikiwe..na vikwazo vyote kazini Mungu aingilie kati NAKUOMBEA
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Hahahahaha huwa wanamsemea tu![]()
![]()
HV kweli Mugabe anawrza kusema hivyo??!!
Nahisi mengine huwa wanamsingiziaga bwana
Alitisha sana aiseeAnasema sana,kuna siku walimuuliza kwanini hajaachia madaraka akasema hili swali ni kwa viongozi waafrika tu...mbona malkia Elizabeth haulizwi...niambie atatoka lini madarakani?![]()
![]()
![]()
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Husna muba mpendwa wa Obe niambieShululu Wa tumosa
Leo umechangamka sanaMme mwee Wa lee