Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Upumzike kwa amani ibraHata humu makapuku alikuwepo yeye ni miongoni mwa watu wa mwanzo nenda kuanzia page # 1 utamkuta![]()
.....
Upumzike kwa amani ibraHata humu makapuku alikuwepo yeye ni miongoni mwa watu wa mwanzo nenda kuanzia page # 1 utamkuta![]()
.....
Dada ujue we ni chiziAisee
Mie T atawaletea mrejesho... Na Shunie...
Ni kigamboni alikuwa anakaa masikiniMfano nasikia jamaa alikua anakaa Kisiwani (nafikiri ni Tabata au Kigamboni) halafu angalia sasa hapo Tabata na Mabibo ninapoishi kwa miguu ni dk 15 tu ndo nasikia msiba ulipo na watasafirisha kupelekea Tanga
....
Hata mm sikutaka kuaminiUwiiiii we husnaibra juzi katuonyesha cheti kifua kimembana jamaan sitaki kuamini ibra
![]()
Mungu wangu
Jamaan kama kuna niliyemkosea tusameheane maisha mafupi sana leo tunacheka kesho hatupo kama umenikosea nimekusamehe ibra sitaki kuamini
Kwa nini umewaza hivyo lakini mshkaji wangu*GHAFLA TU SERIKALI INAPIGA MARUFUKU MAWIGI NA MEKAUP, HAKI YA MUNGU WATOTO WATASAHAU MAMA ZAO.......
nawaza tu jamani @
Mzigua yule kaka yetuDaaaah
Kumbe ni mwenzangu aisee
Kwa siku maalum tu halaf unajipodoaga weweKabisaa
Labda siku naenda kwenye kwaito
Pole sanaKiukweli kifo chake kimenigusa na kwa kutambua mchango wake kwenye thread hii leo hakutakuwa na segment ninazopost wadau maana hata akili hazijatulia
Kila nafsi itaonja mauti
..........
Nimekuja dada ujue sauti yako lazima nije unaumwa nini jamaan mwenyewe sipo sawa kabisaShunie uko wapiii mamy.... Dadako naumwa ujue
Aisee pole sana husna halaf nakumbuka alivyoweka cheti ulimwambia hiyo ni pumuInapungua kwa muda baadae inarudi tena
Nimekuja jamaanKwa nini.... Mwambie namtaka
Aiseee pole mnoooooNinachofanya ni kuepuka vile vyanzo vya kusababisha
Mfano:
Vumbi
Mapafyumu
Au kazi ngumu
Nimekuja shemela wanguAtakuja tu
Na wahaya wana dawa sanaWahaya wana dawa ya kienyeji inatibu kabisa
AiseeeNdiooo ni kweli kabisaa yaani ukijipulizia pafyumu utajibeba nakwambia
Ilinitokea kipindi bado sijajua km ni pumu nikapuliza unyunyu bwana fyuuuu....fyuuuu...
Ni sindano cjui inaitwaje ndio nilidungwa nikapata ahueni
Wanajua dawa sanaHizo habari naskia mitandaoni tu bado sijapata uhakika
Asante sana shemela wanguPoa kabisa shemela, karibu shemela wangu
Woyooooooooooo binamu ukuje huku kwa mpendwa wako
Daah ibra wa watuHata mm sikutaka kuamini