Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji15] [emoji15] 4 example?Lakini zipo nchi zilizo kimya ambazo zinaweza kumtuliza bwana mdogo
[emoji15] [emoji15] 4 example?Lakini zipo nchi zilizo kimya ambazo zinaweza kumtuliza bwana mdogo
Duuuuu... Babu anatishaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1]Anasema sana,kuna siku walimuuliza kwanini hajaachia madaraka akasema hili swali ni kwa viongozi waafrika tu...mbona malkia Elizabeth haulizwi...niambie atatoka lini madarakani?[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkweo huyo lakini!?Mama mchuchu leo naona unatumia tecno ...kesho itel si etiii ??
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kesho kutwa vodafone...mitala ya simu[emoji12] [emoji12]
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Tom jerry na d[emoji1]
Nzuri mdauuHabari za asubuhi wadau
.....
KumbeMojawapo Urusi
Pole mkuuNaendelea vzr kiasi niko ila roho haina amani I don't know why
Ila Mungu atanisimamia
[emoji1] [emoji1] [emoji106]Hahahahaha huwa wanamsemea tu
NakusalimuuHusna muba mpendwa wa Obe niambie
[emoji23] [emoji23] doleee
[emoji1] [emoji1] kidogo tu sio sanaLeo umechangamka sana
WerevaaTecno H6
[emoji4] [emoji4]
Kwani anaumwa ama nn?Simama Imara katika maombi,utashinda mpendwa Mungu anakupenda sana,mimi nakupenda sana,MAKAPUKU wanakupenda sana stop worrying..GOD is controling everything...I LOVE YOU MUMMY,PRAYING FOR YOU.
[emoji524] YEREMIA 29
11.Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi,asema BWANA,ni mawazo ya amani wala si mabaya , kuwapa tumaini siku zenu za mwisho
12.Nanyi mtaniita ,mtakwenda na kuniomba,nami nitawasikiliza
13.Nanyi mtanitafuta na kuniona,mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.
14.Nami nitaonekana kwenu,asema BWANA.
[emoji523] HIYO NI AHADI YA MUNGU KWETU...OMBA ATASIKILIZA NA KUKUPA AMANI ,HAKIKA HATAKUACHA PEKE YAKO.
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Ni hiyo hali uliyompa polePole mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ndio hivyo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkweo huyo lakini!?
[emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji1] [emoji1] [emoji1]
Achana naeeKisa cha kucheka??
NnMmmmmmh...!!!!