Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,559
Duu nguja niwe mpole tu..nitafutie mwingine basi dada..
Mi Niko poa tu
Kaka yangu huyoo demi achana nae kadhaolewa na lee

Karibu Mondray za uzimaNiaje mazee hope mko poa,
Demi jibu hujanipa..
SanaHapa itabidi trump achemshe bongo kabla hajapagawa maana huyu mapanki anaonekana si Wa kisportsporti atii
WARUMI 15
7.Kwahiyo mkaribishane ninyi kwa ninyi ,kama naye Kristo alivyotukaribisha,ili MUNGU atukuzwe.
8.Kwamaana nasema ya kwamba Kristo amefanyika mhudumu wa agano la kutahiriwa kwa ajili ya kweli ya Mungu ,kusudi athibitishe ahadi walizopewa baba zetu.
9.Tena ili mataifa wamtukuze Mungu kwa ajili ya rehema zake,kama ilivyoandikwa,kwa hiyo nitakushukuru kati ya mataifa,nami nitaliimba jina lako .
10.Na tena anena Furahini ,Mataifa pamoja na watu wake.
11.Na tena Enyi Mataifa yote,msifuni BWANA,Enyi wote mhimidini.
12.Na tena Isaya anena,litakuwapo shina la Yese Naye aondokeaye kuwatawala Mataifa,Ndiye Mataifa watakayemtumainia
13.Basi MUNGU wa tumaini na awajaze ninyi furaha yote na amani,katika kuamini ,mpate kuzidi sana kuwa na tumaini,katika nguvu za Roho Mtakatifu.
MUNGU AWABARIKI MCHANA MWEMA
![]()
![]()

Ubarikiwe
za hukoNi ngumu sana, hata uhusiano wa kidpromasia hawana, kama wanao ni nchi chache sana hazifiki hata kumiNK ni tatizo
Hata kupenyeza CIA ni ishu
....
Kuja unakimbia wapi
Yuko MarsJamaa kaongeza Mke Wa pili
Uko dunia gn weyee?!
WeweNilizani wanaogopwa kwavile ni waheshimiwa
Za mchana shemejiNzuri mdauu
AsanteNakusalimuu
Kuja unakimbia wapi
furaha nilioamka nayo yote imetoweka mungu saidia isiwe kweliJambo jema![]()
kidogo tu sio sana
Amen, nawe mchana mwema mama MchungajiWARUMI 15
7.Kwahiyo mkaribishane ninyi kwa ninyi ,kama naye Kristo alivyotukaribisha,ili MUNGU atukuzwe.
8.Kwamaana nasema ya kwamba Kristo amefanyika mhudumu wa agano la kutahiriwa kwa ajili ya kweli ya Mungu ,kusudi athibitishe ahadi walizopewa baba zetu.
9.Tena ili mataifa wamtukuze Mungu kwa ajili ya rehema zake,kama ilivyoandikwa,kwa hiyo nitakushukuru kati ya mataifa,nami nitaliimba jina lako .
10.Na tena anena Furahini ,Mataifa pamoja na watu wake.
11.Na tena Enyi Mataifa yote,msifuni BWANA,Enyi wote mhimidini.
12.Na tena Isaya anena,litakuwapo shina la Yese Naye aondokeaye kuwatawala Mataifa,Ndiye Mataifa watakayemtumainia
13.Basi MUNGU wa tumaini na awajaze ninyi furaha yote na amani,katika kuamini ,mpate kuzidi sana kuwa na tumaini,katika nguvu za Roho Mtakatifu.
MUNGU AWABARIKI MCHANA MWEMA
![]()
![]()
Njema za uzima Mungu akubarikiHabari ya mchana makapuku wenzangu.?nimebanwa na majukumu sijaonekana humu,nimepita kuwajulia hali![]()
![]()