Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Shemeji mzimaNi kweli kabisa
Shemeji mzimaNi kweli kabisa
Ulikuwa wapi kwa mfanoNimekuja jamaan
Tuko goodWakuu habari zenu habari za kupambana na maisha
Nimewamis sana
Leo nimekuja niwasalimu
NdioAisee pole sana husna halaf nakumbuka alivyoweka cheti ulimwambia hiyo ni pumu
Asante mama TTuko good
Ongea tu shemNaweza kuongezea neno ??
BaeKoh koh koh!
AiseeeeJapokuwa hata mazingira yanachangia hii hali lakini kiukweli ni ugonjwa wa kurithi maana yake its Genetic Disorder....husna amezungumzia namna ya kujikinga vizuri inshort unatakiwa uishi kwenye mazingira ambayo yanaruhusu uwepo wa hewa safii nikimanisha zoezi zima la upumuaji liende vizuri...hewa nzito (chafu) kwa mgonjwa ni shida kwelii....ebu angalia hii picha kwa umakini
..![]()
Mungu azidi kukutunza jamaniKuna ya kurithi
Kuna ya kuipata tu kwenye ukoo wenu hamna mwenye nayo lakini we unapata
Kuna wengine wanazaliwa nayo wanakua na wanazeeka nayo
Ila ikikubana ni mtihani mkubwa saaana njia ya hewa inakuwa ndogo kila ukijitahidi kuhema unashindwa
Kwa kweli mungu atusaidie sana
Hivyo eeehUkiwa mpenzi wa asali inapona
AmekujaAtakuja tu
InaitwajeWahaya wana dawa ya kienyeji inatibu kabisa
Poa PoaNiyakuzaliwa nayo
Kwa nini tena jamaniDada ujue we ni chizi
AmenMungu azidi kukutunza jamani
Mara moja kwa mwaka sio mbayaKwa siku maalum tu halaf unajipodoaga wewe
Mie niko na presha... Halafu kazi kibao ni shida tuuuNimekuja dada ujue sauti yako lazima nije unaumwa nini jamaan mwenyewe sipo sawa kabisa
Husna mamboAmen