Makapuku Forum

Makapuku Forum

1fd7035a490e6d34730fed17def606f5.jpg
c2eec5df741d373b58ba2fc1d20cac13.jpg
 
Maisha ni jinsi ulivyoigusa mioyo ya watu sio miaka uliyoishi
Au tuseme Mali/mchango wako kwa familia/ndugu/jamaa/marafiki

Hata Jf mtu huwezi kujivunia eti ulikuwepo wakati ikianzishwa 2006 wakati hadi leo haujafanya au haina mchango wowote jamvini

Mi best friend wangu alifariki akiwa na miaka 20 tu ila bado anaishi moyoni kwangu na nikijaaliwa mtoto wa kiume nitampa jina lake ili kumuenzi
........
So sad
 
WARUMI 15

7.Kwahiyo mkaribishane ninyi kwa ninyi ,kama naye Kristo alivyotukaribisha,ili MUNGU atukuzwe.

8.Kwamaana nasema ya kwamba Kristo amefanyika mhudumu wa agano la kutahiriwa kwa ajili ya kweli ya Mungu ,kusudi athibitishe ahadi walizopewa baba zetu.

9.Tena ili mataifa wamtukuze Mungu kwa ajili ya rehema zake,kama ilivyoandikwa,kwa hiyo nitakushukuru kati ya mataifa,nami nitaliimba jina lako .

10.Na tena anena Furahini ,Mataifa pamoja na watu wake.

11.Na tena Enyi Mataifa yote,msifuni BWANA,Enyi wote mhimidini.

12.Na tena Isaya anena,litakuwapo shina la Yese Naye aondokeaye kuwatawala Mataifa,Ndiye Mataifa watakayemtumainia

13.Basi MUNGU wa tumaini na awajaze ninyi furaha yote na amani,katika kuamini ,mpate kuzidi sana kuwa na tumaini,katika nguvu za Roho Mtakatifu.

MUNGU AWABARIKI MCHANA MWEMA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom