Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524] [emoji524] MATHAYO 5

38.Mmesikia imenenwa jicho kwa jicho,na jino kwa jino.

39.Lakini mimi nawaambia,Msishindane na mtu mwovu,lakini mtu akupigaye shavu la kuume,mgeuzie na la pili.

40.Na mtu atakaye kukushitaki kuitwaa kanzu yako,mwachie na joho pia.

41.Na mtu atakayekulazimisha mwendo wa maili moja,nenda naye mbili.

42.Akuombaye mpe,naye atakayekukopa kwako usimpe kisogo.

43.Mmesikia imenenwa kwamba mpende jirani yako,na umchukie adui yako.

44.Lakini mimi nawaambia ,Wapendeni adui zenu,waombeeni wanaowaudhi.

45.Ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliyembinguni,maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema,huwanyeshea mvua wenye haki na wasio na haki.

46.Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani?hata watoza ushuru ,je!nao hawafanyi yayo hayo?

47.Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu,mnatenda tendo gani la ziada?Hata watu wa mataifa je!Nao hawafanyi kama hayo?

48.Basi ninyi mtakuwa wakamilifu ,kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.

[emoji523] BABA SIKIA KUOMBA KWETU,TUNAJUA UNAFAHAMU HAJA ZA MIOYO YETU HATA KABLA HATUJATAMKA..TWAKUOMBA UTUSIKIE..NAWATAKIA USIKU MWEMA MALAIKA WALINZI WATUZINGIRE,DAMU YA YESU ITUFUNIKE MBARIKIWE[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Asante mama mchuchu
 
Asante kwa sala, nalala sasa
 
Nafikiri hukunielewa...

Nimeuliza, ni nani anaeweza kuitwa mwalimu????

Nami nikajibu mwalimu aweza kuwa wa kisasa na mazingira.

Hapa nilimaanisha yule anayefundisha darasani kufuatisha mtaala wa kielimu inayokubaliki kiserikali.

Na pia wapo walimu ambao hawana vyeti vya ualimu lakini wanaujizi wa stadi tofauti, mfano ukulima, uvuvi uchongaji, uchoraji hawa ni walimu endapo utajifunza chini yao watakuonesha yale utakiwayo kufanya shughuli fulani.

Halafu kuna mwalimu mkuu, huyu ndo mkuu maana hata mwalimu wa zamu hakai ofisini mwake. Sawa sawa mkuu
 
[emoji523] MUNGU BABA MWENYEZI Asante kutuamsha salama,tutakase kwa damu takatifu ya mwanao,tuongoze,tufufundishe ,tusimamie tupe moyo safi tutende mema,tufanye kazi kwa bidii,tutengeze amani kwa gharama yoyote,tuchukuliane kwa upendo na tuwasamehe wanaotukosea kama wewe unavyotusamehe,tuepushe na hatari zote za mwili na roho.

Asante maana utatenda sawa na mapenzi yako,mapenzi yako yatimizwe katika jina la Yesu,Amen[emoji120] SIKU NJEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
 
Amina

Asante kwa baraka ...kazi yako ni nzuri
 
0c60532b562f3e173301297a3ed2b6f9.jpg
 
Back
Top Bottom