Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuna ya kurithi
Kuna ya kuipata tu kwenye ukoo wenu hamna mwenye nayo lakini we unapata
Kuna wengine wanazaliwa nayo wanakua na wanazeeka nayo



Ila ikikubana ni mtihani mkubwa saaana njia ya hewa inakuwa ndogo kila ukijitahidi kuhema unashindwa

Kwa kweli mungu atusaidie sana
Sorry na pole sana ....kiujumla hii hali ni Genetic Disorder au kwa kifupi ni ya kurithi ....ata kama kwenye familia inatokea mmoja anakuwa nayo wengine hawana ni jambo la kawaida na ni kurithi ...yawezekana mzazi mmoja akawa na gens za hii hali ila kwake haikumtokea kimuonekano ...na huyo mzazi milele huwezi kuhisi kama ana pumu ila mambo ya Rhesus factor hasa kwa mtoto mmojawapo ndo inatokea hii hali inajiexpress ....

Pole sana
 
Nahodha wa Manchester United Wayne Rooney, 31, ameondolewa kwenye kikosi kitakachosafiri kwenda Marekani, na atakamilisha uhamisho wake wa bila malipo kurejea Everton mwishoni mwa wiki. Everton pia wanataka kumsajili Olivier Giroud, 20, kutoka Arsenal kwa pauni milioni 20 (Sun).

e97e31c8bff9ea5924b046fe084e3061.jpg
Wazza asepe tu
Halafu saa 12 ni
Tz v Zambia
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom