Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hilo wazo ni zuri, ila hicho kipengele kipewe muda maalumu kila siku. Ili watu wote washiriki kama mada na majadiliano yasiingiliwe na chats zingine. Mjadala ukifungwa ndo chats ziendelee.....

Ni mtazamo wangu lakini
Utawezaji kuzuia watu wasichat mpendwa? Kitakuwa kipengele kizito na fikirishi kidogo na tutaona kitakavyokwenda. Wabeja (asante)
 
Hodi hodi hodi hodi hodi

Mimi ni Mgeni napenda kujumuika na nyie humu ndani-Makapuku!

Sema kabla sijaja humu mnaoeneka nyie ni watu ambae mko tofauti sana katika hili jukwaa.

Kwanza,nimegundua kuna couples humu ndani hivyo mnaoneana wivu sana.

Pia, nyie mnapenda likes sana kwa sababu mtu akiweka hata alama ya koma mnalaiki tu.

NOTE: aliyesababisha nije humu ni SAKAYO huyu Dada nampenda sana nimekuwa nikijaribu kufuatilia comments zake nimetambua ni mwanamke kweli (wife material). Sakayo Nipo tayari kwa lolote juu yako lengo langu kubwa niwe na wewe.
Eeeeeeeeh


Mkuu nitakuja hapo ulipo sasa hivii..

Yaaani kule kwetu nilishapigwa chale cha kisogoni mkuu..

Nilikuwa mbali ila nimekuja...
 
1/Danyang--Kunshan Grand Bridge
f1b31ea2c03cd4f92dfb07661f4b99fb.jpg
d92cc0f79eb688a926bbba51d43e83d6.jpg

Limejengwa/limekatiza katika njia treni High speed Railway ya Shangai hadi Beijing huko nchini China
Ni eneo korofi kijiografia
Ndiyo daraja refu zaidi duniani
Lina urefu wa Km 164.8
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
......
Asante mkuu..

Uwanjwa wa Shululu huu..

Mambo ya suspension Bridge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom