Kwa nini sasa wakati serikali imetujalWewe Mzee wewe. Buku 3.
Mlikuwa wapi wake mweee??Habari ya jioni wapendwa poleni na majukumu![]()
![]()
HahahahaMkuu nikikosa humu JF iwe shut down.![]()
![]()
![]()
, sema kuna kipindi inabidi nakuwa msomaji na kuangilia wanaomnyemelea Mchungaji the BlessedHope of my everything.
Bitoz pôle sana mzee naona chui kafanya yake Léo hapo uhuru
Angalau lakini bado naona vigelegele ni sehemu zinazowagusa wenye Magari tuKutoka Bungeni sina la ziada
Shukran ...Bajeti ikojee ??
Kwangu angalau sikuitegemea
Anamshukuru Mke wakewaziri bana
Mbarikiwe Makapuku woteBreaking news:
Uzi peke wenye post laki mbili na ushee ni Makapuku Forum

Loooo bado unawaza tz ya viwandaa ???Angalau lakini bado naona vigelegele ni sehemu zinazowagusa wenye Magari tu
Kwenye kilimo bado sana
Hâta Tanzania y'a viwanda sijui kama nitafanikiwa kuiona kwa magufuli
Ubarikiwe karibu sanaNawe piaa
Naam katibu mkuuChaplin
Karibu mgeni kulubuleHivi hili jukwaa linahusika na nini makapuku ndio nini mnijuze nataka niwe mmoja wapo
Ndio maana wages ni mzigo kwa taifa#kutoka_bungeni
"Serikali itatumia Tsh. tril 31.7, ambapo tril 19.7 ni matumizi ya kawaida na tril 11.9 matumizi ya maendeleo"