denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,953
Nimecheka sana.Domo zege ndo nini? Maana nasikiaga chipusi zege, mara zege halilali sasa nawe umekuja na domo zege? Hebu nieleweshe tafwadhari





![]()
![]()
kumbe hauko pekeako binamu
Nimecheka sana.Domo zege ndo nini? Maana nasikiaga chipusi zege, mara zege halilali sasa nawe umekuja na domo zege? Hebu nieleweshe tafwadhari





![]()
![]()
kumbe hauko pekeako binamu
Achana nae wanataka kesho uniache kwenye ofa nshawajuaDomo zege ndo nini? Maana nasikiaga chipusi zege, mara zege halilali sasa nawe umekuja na domo zege? Hebu nieleweshe tafwadhari
Natambua hilo leo wamekusakama wengiiiNa wewe ni mjomba angu kipenzi
Shalom shalom mtumishi...!?Jamani ninawasalimu nyote humu
Anakuja shemela yko jikoni anapikaJaman my wife yuko wapiii
Mtafute majukwaa yenu ajee
Mwanaume asojua kutongozaDomo zege ndo nini? Maana nasikiaga chipusi zege, mara zege halilali sasa nawe umekuja na domo zege? Hebu nieleweshe tafwadhari
Tuko mbali ata miaka mia hatufikiii3/Bang Na Expressway![]()
![]()
Ndo lilikuwa likishikilia rekodi ya dunia hadi hapo mwaka 2010 lilipoondolewa kwenye orodha kwa sababu tu halikatizi sehemu yoyote majini(Flyover}
Ni flyover ya njia 6 huko nchini Thailand
Lina urefu wa Km 55
.......
Mpe maua bhasiiii bhinamuu ata yaliyoexpired
bado hamjakata tamaa ya maua
Usinifanyiee hivo nitag plztumekufunyua nini??
sitag mtu hapa
Asante,karibuJamani ninawasalimu nyote humu
Hatukat tamaaa![]()
![]()
bado hamjakata tamaa ya maua
Na wewe umoo
Makapuku, sijawahi kuwa na topiki hapa na najifunza. How did I do today (Stupid Criminals hapo juu)? Ni wazo zuri hili au niachane nalo? Ushauri wo wote utasaidia (format, presentation n.k). Bitoz, Obe, Lee...ushauri please.
Nina mawazo mengi hata nafikiria kuanzisha darasa la Falsafa hapa. Kila siku tujadili wazo moja tata la kifalsafa (mf. Wewe ni nani? Tuna haja ya kukiogopa kifo?..). Lengo ni kuipa Makapuku sura mbalimbali. Pamoja sana!
Cheka tu ndguNimecheka sana.![]()
3/Bang Na Expressway![]()
![]()
Ndo lilikuwa likishikilia rekodi ya dunia hadi hapo mwaka 2010 lilipoondolewa kwenye orodha kwa sababu tu halikatizi sehemu yoyote majini(Flyover}
Ni flyover ya njia 6 huko nchini Thailand
Lina urefu wa Km 55
.......
SawaHatukat tamaaa