Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,575
Mimi wifi yake!Kwanini sijipendi Mkuu?
Wewe ndiye baba yake sakayo?.. just kidding!
Mimi wifi yake!Kwanini sijipendi Mkuu?
Wewe ndiye baba yake sakayo?.. just kidding!
Na ukame uliotoka nao huko... I can't imagineVya nini sasa ...kitu live bila chengaaa
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Mpe maua bhasiiii bhinamuu ata yaliyoexpired
yaan weweUnbelievable!! Teh teh teh
alikwambia ana ukame TetraNa ukame uliotoka nao huko... I can't imagine
Kwani uongo??alikua anaongea kipindi upo porini mara unachoma mkaa mara kwa nini nakuacha mwenyewe porini ukioa huko je najiamini nini
ukweli kwamba alikua anachoma mkaaKwani uongo??
Vita hainaga droobasi tekaneni Tetra hakuna namna
Siyo kutega nimeongea ukweli toka moyoni Mkuu.Naona unatega
[emoji67]Natambua hilo leo wamekusakama wengiii
Na uzuri mama mchuchu tunakuja na plan B
Nawaona nawaona kaka na dadayaan wewe
Hahahaha mweh!Mie ninaumia kwa mbaalii.
I can see ukame in him, bila chengaalikwambia ana ukame Tetra
Huenda wewe ndiyo umekosea njia Mkuu!Umekoseaa njiaa mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kama alikwambia anao ukame sawaI can see ukame in him, bila chenga
Next time mshauri aende kuchimba gesiukweli kwamba alikua anachoma mkaa
Nikweli..aombe kwa imani[emoji120]Kila aombae hupewa. Ni kweli hii Mama mchungaji?
Dada unaitwa kuna mgeni wakoSiyo kutega nimeongea ukweli toka moyoni Mkuu.
Pia natumai siyo kosa wala nini!
Huyo binti nampenda sana.
Sitojali kapendwa na wangapi wala na nani!
"I will fight and win"
Nakuelewa na nakupenda sana Sakayo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] 4!!Kipya kinyemi madame. Yalikuwa manne.
hayo mawazo ujue tetra sio kila mtu ambae yupo porini ni muwindaji au mchoma mkaaNext time mshauri aende kuchimba gesi