Makapuku Forum

Makapuku Forum

Makapuku, sijawahi kuwa na topiki hapa na najifunza. How did I do today (Stupid Criminals hapo juu)? Ni wazo zuri hili au niachane nalo? Ushauri wo wote utasaidia (format, presentation n.k). Bitoz, Obe, Lee...ushauri please.

Nina mawazo mengi hata nafikiria kuanzisha darasa la Falsafa hapa. Kila siku tujadili wazo moja tata la kifalsafa (mf. Wewe ni nani? Tuna haja ya kukiogopa kifo?..). Lengo ni kuipa Makapuku sura mbalimbali. Pamoja sana!
Hii ilioanza ni nimeipenda sana
Big up kwani mkuu
 
8/Donghai Bridge
6d37d1a1fc759d5f21f9e6627762a06e.jpg
c1d9b7509c3d8f9fd2f8fdeabf238c09.jpg

Ni moja kati ya madaraja ya kuvutia zaidi kujengwa baharini
Linaziunganisha Shanghai na Yangshan
Lina urefu wa Km 32.5
.......
 
Shukran kwanza kiongozi

Ni kweli kwa kipindi kirefu umekuwa mchangiajii huru japo hii segment ulishawahi kuintroduce ila ulipobanwa ukaiachia ....shukran kwa kuifufua

Ni jambo zuri kila siku tukiwa na constructive ideas kama lako lengo ni kuifanya kapuku izidi kujikita kileleni

Segment yako sio ya kuiacha muhimu uitafutie mda ambao unaona wewe unakuwa free ....muhimu kufanya kitu toka moyoni pasipo kulazimishwa

Mkuu hilo darasa huru tunaomba wala usisite kutuletea muhimu tupangie mda sahih mfano usiku tunakosa kitu special ....

Kuna vitu kama ULIZA UJIBIWE vikiongezeka itakuwa poa sana

Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom