Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hodi hodi hodi hodi hodi

Mimi ni Mgeni napenda kujumuika na nyie humu ndani-Makapuku!

Sema kabla sijaja humu mnaoeneka nyie ni watu ambae mko tofauti sana katika hili jukwaa.

Kwanza,nimegundua kuna couples humu ndani hivyo mnaoneana wivu sana.

Pia, nyie mnapenda likes sana kwa sababu mtu akiweka hata alama ya koma mnalaiki tu.

NOTE: aliyesababisha nije humu ni SAKAYO huyu Dada nampenda sana nimekuwa nikijaribu kufuatilia comments zake nimetambua ni mwanamke kweli (wife material). Sakayo Nipo tayari kwa lolote juu yako lengo langu kubwa niwe na wewe.
 
Hapo mwisho umeharibu. naona hujipendi...
Cc : Transcend
 
weee denoo49 nani ana uzoefu wa kuchezea buti za mama mchungaji? Mimi? Umekosea mimi sina uzoefu wa kuchezea buti zake (kwanza aache kuvaa mabuti)

Mimi nina PhD ya kumfukuzia na kunikaushia, sasa wewe naona unautafuta uprofesa
, yani pamoja na msaada wa mpwa (Mr. Lee) bado hata jitihada za kupewa yale maua ya plastic imekuwa ngumu. Kweli mapenzi kizungu zungu.
 
Hodi hodi hodi hodi hodi

Mimi ni Mgeni napenda kujumuika na nyie humu ndani-Makapuku!

Sema kabla sijaja humu mnaoeneka nyie ni watu ambae mko tofauti sana katika hili jukwaa.

Kwanza,nimegundua kuna couples humu ndani hivyo mnaoneana wivu sana.

Pia, nyie mnapenda likes sana kwa sababu mtu akiweka hata alama ya koma mnalaiki tu.

NOTE: aliyesababisha nije humu ni SAKAYO huyu Dada nampenda sana nimekuwa nikijaribu kufuatilia comments zake nimetambua ni mwanamke kweli (wife material). Sakayo Nipo tayari kwa lolote juu yako lengo langu kubwa niwe na wewe.
Umekoseaa njiaa mkuu
 
weee denoo49 nani ana uzoefu wa kuchezea buti za mama mchungaji? Mimi? Umekosea mimi sina uzoefu wa kuchezea buti zake (kwanza aache kuvaa mabuti)

Mimi nina PhD ya kumfukuzia na kunikaushia, sasa wewe naona unautafuta uprofesa
Jinsi gani anavyo pata wakati mgumu wa kukuelewa.
 
Muziki na Maua

Ni usiku mwingine tena Makapuku, yeah, it's almost furahiday TG. Najua wengi wetu tumekuwa na wakati mzuri siku ya leo. kuna mengi yamepita, tumefanya na mengi yanakuja. Ndo maisha.

Nadhani sijawahi kusema humu, siku moja kabla ya Ijumaa huwa nashtua na kaglass kamoja ili kujiandaa na friday (suala la kama nimefunga au sijafunga sio la kwako). Uzuri wa mnywaji huwa hachagui siku ya kunywa, unakunywa unapojisikia, siku yoyote, mfano, jtatu anakunywa kwa sababu ni siku ya kwanza kurudi kazini, jnne anakunywa kwa sababu juzi ya jana ya juzi ilikuwa jumamosi, jtano anakunywa kwa sababu ni siku ya kuburudisha mwili. Hongera sana kwa walevi na wanywaji wote, ninyi mnachangia karibu asilimia 98 ya bajeti, madini yanachangia 0.0007% na wachangiaji wengine wanamalizia asimilia zilizobaki.

Inabidi tuzidishe maombi ili wanywaji waongezeke serikali iendelee kupata mapato mengi zaidi. Na zaidi, serikali ikitaka kuongeza mapato zaidi basi waende makanisani maana huko kuna wanywaji wengi sana eti wanakunywa divai/mvinyo. Hapa Kazi Tu

Leo, sina sababu sana ya kuangalia utamu wa gitaa lakini kuna midundo fulani hivi ya kisouth ukiisikia lazima masikio yako yatabasamu, ndo ubinadamu huo, kila kiuongo huwa kinatabasamu labda hujajua tu (ndo faida ya kusoma twisheni, unafundishwa masomo ya ziada). Na leo tunaenda South Africa.

Keshatengeneza nyimbo nyingi sana za Brenda Fasie na keshawahi kuwa meneja wake, unajua namuongelea nani leo? Ewaaa, tulia kama naibu spika akiongea na wabunge wa upinzani. Tunamwangalia nguli amabye ana tuzo ya maisha katika tasnia ya muziki aliyopewa huko nchini kwake SA- kwa mzee wa ASS -After Sex, Shower. Uliwaza nini?

Anaitwa Sello Chicco Twala almaarufu Chicco Twala. na nyimbo nyingi tu maarufu kama Papa stop the war na We miss you Manelo (Mandela) nk

Tumwangalie hapa na kibao chake I need some money yooo and kesho ni furahiiiiiiiiiday. Take it easy

Similar Discussions

Back
Top Bottom