Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mfundishee mwanaooAtakupa tu![]()
![]()
![]()
Mfundishee mwanaooAtakupa tu![]()
![]()
![]()
China atariiii hawarembii1/Danyang--Kunshan Grand Bridge![]()
![]()
Limejengwa katika njia treni ya Shangai hadi Beijing huko nchini China
Ni eneo korofi kijiografia
Ndiyo daraja refu zaidi duniani
Lina urefu wa Km 164.8
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
......
MECHI ILIYOPIGWA MUDA MREFU ZAIDI DUNIANI
Hii ilikua mwaka 1942 fainali ya AMERICAN CUP ENZI HIZO,kati ya ARGENTINA na MAREKANI
kipute kilipgwa dk 90 wanaume wakatoka mbili kwa mbili, zikawekwa 30 wanaume wakamaliza hivo hivo,
refa KOLLAR DE QUISOR akasema twendeni kwenye matuta,kwenye 5 za kwanza wakatoka 4 kwa 4 akawaambia wapige zingine wakatoka 5 kwa 5,basi wakapigiana penalty karibu mia wakatoa sare.Kwa kua walikua wamechoka akawaomba wapumzike wakaenda mapumzko kurudi mambo yakaenda mpaka penalty mia zingne ikawa draw,zikapigwa hamsini zngne ikawa sare na watu njaa zinauma sana,basi bwana KOILLAR akawaambia wakapate msosi kwenye mgawaha wa karibu.Waliporudi ikapigwa penalt mpaka karibu na kesho na watu wakaambiwa laleni uwanjani,asubuhi zikapigwa tena kitu sare na ikawa hivo kwa siku 4 ndipo ikarushwa shilingi bado ikatua imesimama zaid ya mara kumi na 9,refaakawaomba wakate kombe nusu kwa nusu.
Nisipowadanganya Nyie ntamdanganya Nani sasa...?
Kapuku forever .....

Hahahaha
Kama umefurahi mpe bhinamu uaHahahaha
Bonge la pin mdauWakati najisomeasomea elimu za darasani, nilivutiwa naye sana.
Hakujikita katika mambo hasi yanayomfanya mtu asifanikiwe, yeye aliamini kila mmoja wetu ana uwezo wa kufanikiwa kwa kuwa tu tuna vipawa tofauti, na hasa tukitia jitihada kuboresha maisha yetu. Aliandaa hii inayoitwa 'hierarchy of needs'.
Ili ufanikiwe, kuna ngazi lazima uzipande, na ngazi moja hufanya hamu ya kupanda zaidi.
Ngazi ya kwanza; Mahitaji ya kimwili na kiasili: Unahitaji kula , kunywa , malazi, kulala na kulalana. Physiological and biological needs
Ngazi II: Mahitaji ya kuwa salama, hapa anasema ili ufanikishe ndoto zako baada ya kuwa umeshiba kimwili na kiafya basi ni lazima uwe na uhakika wa usalama wako pindi unatekeleza majukumu ya kujitafutia kipato iwe shambani (kule kibiti /Rufiji ni ngumu), usiwe na hofu.
Ngazi ya III: Mahitaji ya mapenzi na kujinasibisha, hapa kila mmoja ana haki ya kupendwa, ukaribu (intimacy), kuaminiwa na kukubalika (love and belongingness)
Ngazi ya IV: Esteem needs , weee Mondray hebu njoo uweke link hapa ili kujua kwamba kuna hitaji la kujithamini, kutojiweka chini
Na ngazi ya tano ni kujitambua wewe ni nani na unajukumu gani. Hii utaifikia baada ya kuwa umepitia ngazi zote hizo.
Labda tu kwa kuongezea hapa, kuna hitaji/motisha ya utambuzi. Ukiweza kutambua na kuelewa kupitia maarifa tofauti uhakika wa kufanikiwa ni mkubwa tofauti na ukiwa bwege mtozeni, utatoswa hata na wanasiasa wajinga wa mwisho. Soma soma, angalia news, pitia Makapuku nk
Pia kuna motisha ya kujiweka smart, ndo maana watu hawakauki gym kujenga mwili , kujipodoa ukapodoka (aesthetic needs), kutafuta kakitambi kaheshima kama nilikonako.
Na pia kuna motisha ya kuwasaidia wengine kufanikisha ndoto zao (transcendence needs) hapa ndo unakutana na waombeaji wote, walimu na wewe Kapuku unayesoma hapa.
Well, nimeandika sana eeh. Pole na asante kwa kumsoma Mussolin5 na leo katika historia
Umemtoa wapi ndio Mke wa waziri au shauri yako![]()
![]()
![]()
Wanyarwandaaa hawaaaaa jamaniiiiiii....yerewiiiiii
kwema mke mwee![]()
![]()
mke mwee kwema
hivi nani amekuteka lakini205k
Mpe maua bhasiiii bhinamuu ata yaliyoexpired
Mwanaume asojua kutongoza
Thank you1/Danyang--Kunshan Grand Bridge![]()
![]()
Limejengwa/limekatiza katika njia treni High speed Railway ya Shangai hadi Beijing huko nchini China
Ni eneo korofi kijiografia
Ndiyo daraja refu zaidi duniani
Lina urefu wa Km 164.8
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
......
Mimi ni spy nmekuja kuwajaribu ila nmependa kuwa wamojaInategemea na mtazamo uliokufanya uje leo...
Any way karibu kwenye familia pendwa ..sema kapuku hatujaribiwi
me mzima mama yangu ubarikiwe sana na weweMarahaba mwanangu Shunie wa Lee,namshukuru Mungu mzima,wewe je?ubarikiwe mwanangu![]()
![]()