eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Wabunge wa ccm bana wanashangilia vitu vinavyowagusa wao tu kwa raia wanashangilia kidogo tu
Wabunge wa ccm bana wanashangilia vitu vinavyowagusa wao tu kwa raia wanashangilia kidogo tu
[emoji1] naam hapo apo [emoji817] [emoji736]Mrs shedede[emoji1]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] washatujua kuwa ni wapenzi wa stori ngoja niende na mmentertainment mke mwee jana nilitulia nikaisoma ni nzuri nikamkuta mkaka mmoja acha atuite me na wewe
Majukumu shemela,umeshndaje lknMlikuwa wapi wake mweee??
Mimi hapa ni mgeniEbu nisaidieni kufafanua hii jamani!!!
Nimeikuta kule Instagram... [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 521368
Heshima yako mkuuNaam katibu mkuu
Mama mchungaji heshima yko mama[emoji120] [emoji120] [emoji120]Ubarikiwe karibu sana
Shemela[emoji137] [emoji137]Naam katibu mkuu
KaribuuTWOP TEN
Tanzania tunatambia daraja la Nyerere/Kigamboni
Sasa tuangalie madaraja kumi marefu zaidi duniani
.......
Hii safi, nadhan kwa afrika tutakuwa wakwanza kufanya hiv#kutoka_bungeni
Wauza mitumba , wauza mbogamboga , mama lishe kupewa vitambulisho maalum
MamiiiHakika
Weka official transfer mkuu hizi tetesi sioni kama ni big dealWakuu soon tuone tetesi za uhamisho na mikataba wa mastaa wa soka ulaya ....usiende mbali
Upuuzi mtupu, wanatakiwa wakope sio kulipa keshi#kutoka_bungeni
'Serikali itanunua ndege mbili mpya na kufanya malipo ya awali ya ndege nne kwa Tsh. Bilioni 234.9'
NishasahauNini sasa
ChichemiiiiUmeelewa nn hapo
WeweMmmmmh nan ananyimwa saasa
Thats de pointWeka official transfer mkuu hizi tetesi sioni kama ni big deal
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaona humu ni mkusanyiko wa wanafunzi na maskini, kama kusoma hawajui na picha hawaoni?