Mama D alafu huu upuuzi ushanikataza ila ntauachaaBaba D nakusalimia tu mimi
Mzee bila vijana watukutu nyumba hainogi. Makapuku hawa.Sasa Rafiki kipenz vijana tuliowakaribisha humu wanataka kutuvunjia heshima.... Waambie heshima ni kitu cha bure
Kweli kabisa
Unakulaga nini msukumaUsilitaje jina la Shunie hovyo hovyo...By the way tu...na...ku...la...gaaaaaa !!!
If we do realy sleep
shemela mkeo akija mwambie aende akasome kikosi cha kisasi
iko wapi hyo
waziri banaOk asanteWakuu soon tuone tetesi za uhamisho na mikataba wa mastaa wa soka ulaya ....usiende mbali
shikamoo mama angu roho yake mukongo mama mchuchuKweli kabisa
Wewe Mzee wewe. Buku 3.#kutoka_bungeni
"Kufuta ushuru wa huduma kwenye nyumba za kulala wageni 'Guest House"
Hapa nahisi tutapata ata rumu za buku 3
Safi ndio msimamo wakeMESSI AKUBALI MKATABA MPYA BARCA
Lionel Messi amekubali mkataba mpya Barcelona utakaombakisha Camp Nou hadi mwaka 2021, kwa mujibu wa Cadena SER .
Masharti mapya yanamruhusu kuongeza mwaka mmoja zaidi baada ya mkataba huo na klabu yoyote itakayomtaka italazimika kut €400 million.
![]()
nimekumiss pia ubavu wake shunie huo upuuzi wako naona huwezi kuachana naoMama D alafu huu upuuzi ushanikataza ila ntauachaa
Nimekumis umeshinda wapi kipenda rohoo ...
I didn't know the word I know the situation,thanksDID YOU KNOW ?![]()
entertainment mke mwee jana nilitulia nikaisoma ni nzuri nikamkuta mkaka mmoja acha atuite me na wewe![]()
iko wapi hyo