Kwa hiyo ulijengwa awamu ya nne si ndio
Na nyie mnapaswa muwasifie marais walioasisi hiyo miradi badala ya kuaminisha watu kuwa marehemu ndiye alikuwa kila kitu! Wapumzike kwa amani. J. K. Nyerere, Ben Mkapa na J. Magufuli! Mungu awape maishe marefu wazee wetu Alli Mwinyi, J. Kikwete na mama yetu Samia Suluhu!
 
Kufufua mashirika ya Umma kama TTCL, Airtel kurudi serikalini, Reli ya Dar-Moshi nk.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!
Waulize kiwanda cha viatu huko moshi kimefufuliwa na na nani? mradi wa maji Arusha bill500 umeletwa na nani? Magufuli ndio best president ever kwa Tanzania .
 
Tatizo la Magufuli, alidhani atakuwa Rais wa Tanzania milele miradi mingi utadhani aliambiwa hawatakuja watu wengine kufanya haya mambo ni kupokezana vijiti unajikuna unapoweza unaachia wengine nao wataendeleza hakujifunza kuwa alianza kuyafanya Nyerere na hakuweza kumaliza.
Mika mitano and probably kumi ni michache Sana , unaframe tu vitu unavyoweza kufanya Kwa huo mda , vingi Kwa ajili ya kizazi kilichopo na vichache Kwa ajili ya kizazi kinachokuja.

kwenye huu msiba basi Tu kila mmoja abaki na fikra zake moyoni maisha yaendelee make ukiongea fikra zako unaweza jikuta upo Central au usionekane kabisa
 
Na wakati wa JPM msimamizi akiwa nani? Mbona hamumtaji!!???
Wakati wa jk alikuwa waziri aliyeongoza kwa purfomance Zaid hata ya raise, Hilo halinaubishi, sifa zake mwenyew ndo zilimfanya apte uraisi 2015 chama kilikuwa kimepoteza sifa chini ya jk nadhani Hilo unalikumbuka ndo Mana hata ccm walikubali neno "vote for magufuli and not vote for ccm". Wakati wa awmu hii purfomance kubwa ilikuwa ya rais kuliko wazri wote kila kilichofanyika Kuna jitihada za rais zilikuwa zinaonekana
 
And he failed miserably, Kikwete kasepa kaacha kigoma haijaungwa na lami , hadi kesho ipo hivyo hivyo , na isingekua juhudi za Zitto kuomba pesa mabeberu ungekuta haina kabisa

Tuachane na hilo
Kwan awamu ya Magu hakua na waziri wa ujenz na usafirishaj ?
Huwezi kuwa na purfomance ya 100% ndo Mana hata wewe umetoa huo mfano was kigoma tu. Ukizungumza miundombinu ya nchi hii lazma umtaje jpm kabla ya uraisi au wakati akiwa rais. Wakati wa jk alikuwa waziri aliyeongoza kwa purfomance Zaid hata ya rais.

Hilo halinaubishi, sifa zake mwenyew ndo zilimfanya apte uraisi 2015 chama kilikuwa kimepoteza sifa chini ya jk nadhani Hilo unalikumbuka ndo Mana hata ccm walikubali neno "vote for magufuli and not vote for ccm".

Wakati wa awmu hii purfomance kubwa ilikuwa ya rais kuliko wazri wote kila kilichofanyika Kuna jitihada za rais zilikuwa zinaonekana
 
Huwezi kuwa na purfomance ya 100% ndo Mana hata wewe umetoa huo mfano was kigoma tu. Ukizungumza miundombinu ya nchi hii lazma umtaje jpm kabla ya uraisi au wakati akiwa rais. Wakati wa jk alikuwa waziri aliyeongoza kwa purfomance Zaid hata ya rais...
Ni kigoma na katavi , kikwete kaongeza na Mara

Kwahiyo ikija enzi za Kikwete hututaj rais tunataja Waziri , ikija awamu wa Magu hatutaji waziri tunataja rais ..akili za mataga
 
Ni kigoma na katavi , kikwete kaongeza na Mara

Kwahiyo ikija enzi za Kikwete hututaj rais tunataja Waziri , ikija awamu wa Magu hatutaji waziri tunataja rais ..akili za mataga
Umekuja vizur kati ya mikoa 26 unataja 3 halafu Barbara zote hizo ulizozutaja zinaendea kutengezwa na ya zamani zaid ni hyo ya kigoma. Usisahau kuwa kifo kimekatsha na sio kwamba amemaliza awamu yake.

Kama angemaliza awmu hii ungekuwa na uhalali wa kumlaumu hivyo. Kuhusu Hilo la awamu, uraisi wake ameupata kwa sababu ya ufanisi ya awmu ya 3 na ya nne.

Katika awmu ya nne ni waziri pekee alikuwa anasifiwa had na wapinzani labda Kama ulikuw mtoto huwez kukumbuka, wapinzani wenyewe 2015walithubutu kusema , " jpm yupo vizuri ila wanawaswas na chama chake" wengine wakisema "Wana wasiwas na mfumo ila hawana Shaka na jpm".

Sasa hivi wamejisahaulisha. Kwa awamu hii hakuna waziri maarufu Zaid ya rais mirad mingi amekuwa akiifuatilia mwenyw
 
Umekuja vizur kati ya mikoa 26 unataja 3 halafu Barbara zote hizo ulizozutaja zinaendea kutengezwa na ya zamani zaid ni hyo ya kigoma. Usisahau kuwa kifo kimekatsha na sio kwamba amemaliza awamu yake.kama angemaliza awmu hii ungekuwa na uhalali wa kumlaumu hivyo...
Hivi unajua kusoma vizuri kweli wewe?

Kikwete kaunganisha nchi nzima na lami kasoro Katavi (wakati anaondoka ilikua kwenye 80% huko kuunganishwa kwa barabara za sumbawanga mpanda na tabora mpanda, mkoa wa kigoma ndio ilikua bado na Mara, so katika mikoa 26 , mikoa 23 ilikua 100% imeunganishwa na road network. Jifunze kusoma uelewe

Na Leo kafafanua vizuri pale walivyoweza unganisha Tanzania nzima kwa lami kasoro maeneo hayo matatu tu
 
Hivi unajua kusoma vizuri kweli wewe?

Kikwete kaunganisha nchi nzima na lami kasoro Katavi (wakati anaondoka ilikua kwenye 80% huko kuunganishwa kwa barabara za sumbawanga mpanda na tabora mpanda...
Wewe unayejua kusoma. unajua jpm alipewa jina tingatinga kwa ajili gani?usimfie mtu mbio bila kuangalia anayemkimbiza. Huwezi taja miundombinu Tanzania hii bila kumtaja tingatinga.

Leo umeanza kumsifia jk wakati ccm iliokolea 2015 kutokana na record ya jpm hasa hiyo ya miondombinu.
 
1. Ubungo interchange isinge jengwa
2. Tazara flyover isinge jengwa
3. Nyerere hydropower isinge jengwa
4. Tanzanite bridge isinge jengwa
5. Barabara za jiji maeneo ya makumbusho, kijichi, sinza, kijitonnyama etc zisinge jengwa
6. SGR singe jengwa kwa kiwango cha 160KM/hr
7. Arusha roads isinge jengwa
8. Vituo vya afya 400 visonge jengwa
9. Hospitali za wilaya na mikoa zisinge jengwa
10. Nyerere memoerial hospital na southern zonal hospital isinge jengwa
11. Dodoma makao makuu isinge kuwa mahali ilipo
12. Wami bridge isinge jengwa
13. Etc

Buriani Dr Magufuli, mwendo umeumaliza.
 
Ukweli ni kwamba nchi yetu ilipata bahati ya kuwa na kiongozi madhubuti. Itachukua miaka kwa wengine kuligundua hilo. ^May his name be preserved in all the capitals of Africa!^ --- Jina lake lihifadhiwe katika makabati yote Afrika.
 
Back
Top Bottom