Wewe unayejua kusoma. unajua jpm alipewa jina tingatinga kwa ajili gani?usimfie mtu mbio bila kuangalia anayemkimbiza. Huwezi taja miundombinu tzania hii bila kumtaja tingatinga. Leo umeanza kumsifia jk wakati ccm iliokolea 2015 kutokana na record ya jpm hasa hiyo ya miondombinu.
Iliokolewa kutokana na nini?
 
Ametuacha na Amani bila hofu ya corona! Dunia nzima wanashangaa na hawajaamini bado!!
Corona ni vijimafua visivyoweza kuua hata kifaranga cha kuku, mnampaje sifa ya kudhibiti kitu kisicho na madhara? Kumsifu dikiteta magufuli kuwa kadhibiti corona, ni Sawa Sawa na kumsifu kuwa kadhibiti mende wasiambukize malaria, kitu ambacho ni hewa.
 
Magufuli hajasari nje ya Africa na wala hakupandisha ghalama za maisha lakini................👇
1. JPM anajenga Reli ya Mwendo kasi – SGR.
2. JPM anajenga Bwawa la Umeme – Nyerere HydroPower.
3. JPM amenunua Ndege 13 aina tofautitofauti.
4. JPM amejenga Ikulu kule Dodoma na yale Magorofa ya Wizara kule Mji wa Serikali Dodoma ( Mtumba) Magufuli City
5. JPM amehamisha Makao Makuu ya Serikali na ameijenga Dodoma imekuwa Jiji
6. JPM amejenga FlyOver Dar es Salaam pale Ubungo na TAZARA.
7. JPM amejenga daraja la Tanzanite pale Selander.
8. JPM ametengeneza huu Mfumo wa Kompyuta wa Malipo ya Serikali.
9. JPM alikuwa anaweka umeme hadi Vijijini (kwa Tsh. 27,000/= tu.)
10. JPM ameshawishi Bomba la Mafuta kutoka Uganda lipite Tanzania.
11. JPM anajenga daraja la Kingongo Ferry Busisi kule ziwa Victoria.
12. JPM amejenga Meli kubwa mbili mbili kila ziwa, yaani Ziwa Victoria 2, Ziwa Tanganyika 2 na Ziwa Nyasa 2.
13. JPM amejenga Hospital za Kanda kubwa nne… Dodoma, Mara, Mtwara, Geita na Songea
14. JPM amejenga Hospitali za Wilaya Zaidi ya 70
15. JPM amejenga Mradi Mkubwa wa Maji ya Victoria kule Tabora
16. JPM amejenga Mradi wa Maji Mkubwa Arusha
17. JPM amejenga Barabara ya Njia Nane Dar es Salaam hadi Kibaha
18. JPM alikuwa anajenga Mizani za Kisasa kabisa Kwenye Barabara zote kubwa
19. JPM amejenga Vituo vya Afya Zaidi ya 500
20. JPM amejenga na Kununua Rada 4 za AirPort
21. JPM amejenga Viwanja vya Ndege Mara, Iringa, Mbeya, Chato, Songea na Rukwa
22. JPM amejenga Masoko ya Madini kila Mikoa yenye migodi ya madini
23. JPM amejenga ukuta wa Mirerani na kuweka Camera za Ulinzi
24. JPM amejenga Bandari Kilwa, na kuzipanua Bandari Mtwara, Tanga na Dar es Salaam
25. JPM amejenga Masoko ya Kisasa zaidi, ya maana kama Dodoma, Morogoro, Dar es Salaam
26. JPM amejenga Bus Stand za Kisasa Zaidi mikoani kama Dodoma, Morogoro, Dar es Salaam
27. JPM amenunua Vifaa Tiba kama MRI, CT Scan, Vifaa vya Kufanyia Oparations za Moyo pale JKCI Wagonjwa wanatoka nchi jirani kuja kutib
 
Tukianza kutaja hapa aliyoyafanya tutakesha. Hakuna Rais bora Tanzania hii kama Magufuli.
Ningeshangaa kama usingekuwa wa pili kuchangia,inawezekana una ID zaidi ya moja,nchi za wenye akili hiyo sio sifa ni majukumu ya serikali..ili ushawishi watu wakupende unanakiwa u create jobs. Amkeni nyinyi wafuga n'gombe.
 
Back
Top Bottom