Emeronce Gerald
Member
- Sep 20, 2020
- 48
- 40
Hana mpinzani huyu Baba, kwa mapenzi ya dhati aliyonayo kwa Taifa letu na kwa sisi wananchi kiukweli anastahili miaka mitano tena.Hakika ni mengi ameyafanya bado watu hatutaki kuamini.
Mi nauliza mbona wanaopinga ndio haohao wanaotumia vitu hivyo ???
Swala ni kwamba kumbe wanatukubalineeeh hahahha wataendelea kuisoma namba mpaka wakome mwaka huu.
Kama kuna mtu anaona hajafanya chochote basi wahame nchini waende nchi jirani huko mbona wanaruhusiwa tu jamani.
Nitamchagua Magufuli