Amejenga daraja Kigamboni ila kuvuka lazima ulipie.

Amejenga hospitali ya Mloganzila ila ukifa huchukui maiti hadi deni lilipwe.

Ametoa elimu bure ila watoto wake na watoto wa mawaziri wake wanasoma feza boys/girls na st.Francis

Alitumbua wenye vyeti feki kasoro Daudi Albert Bashite.
 
Mwanasiasa yoyote Duniani Hana muda na Mtu Masikini or Mnyonge. Equally Mungu hana Ukaribu na mtu Mnyonge maana Maandiko yanasema Kinyonge Hakitaingia Mbinguni.
 
AMEJENGA DARAJA KIGAMBONI ILA KUVUKA LAZIMA ULIPIE.

AMEJENGA HOSPITALI YA MLOGANZILA ILA UKIFA HUCHUKUI MAITI HADI DENI LILIPWE.

AMETOA ELIMU BURE ILA WATOTO WAKE NA WATOTO WA MAWAZIRI WAKE WANASOMA FEZA BOYS/GIRLS NA ST.FRANCIS

ALITUMBUA WENYE VYETI FEKI KASORO DAUDI ALBERT BASHITE.
Kwani alikuwa na watoto wanaosoma secondari kipindi akiwa raisi?
 
AMEJENGA DARAJA KIGAMBONI ILA KUVUKA LAZIMA ULIPIE.

AMEJENGA HOSPITALI YA MLOGANZILA ILA UKIFA HUCHUKUI MAITI HADI DENI LILIPWE.

AMETOA ELIMU BURE ILA WATOTO WAKE NA WATOTO WA MAWAZIRI WAKE WANASOMA FEZA BOYS/GIRLS NA ST.FRANCIS

ALITUMBUA WENYE VYETI FEKI KASORO DAUDI ALBERT BASHITE.
Mloganzila kumbe nayo kajenga yeye?😲
 
Watumishi wa umma sio wanyonge.

Wanyonge wakulima wadogo wadogo machniga mama ntilie wachimbaji wadogo and the like.
kuvuruga umoja na mshikamano uliokuwepo ili kuendana na "divide and rule policy"
Kila mtu ana unyonge wake imekuwa ni jamaa iliyo nyamaza am a kunyamazishwa ukimya husababisha watu wasijihusishe na shughuli za kijamii 'silence surrender public responsibility'
 
Back
Top Bottom