"Katika uhalifu huwa hakuna umoja mkitikiswa kidogo tu umoja wenu unasambaratika,huwa ni unafiki tu siyo umoja harisi ,Mara nyingi umoja harisi hudumu na utokana na haki.kuvuruga umoja na mshikamano uliokuwepo ili kuendana na "divide and rule policy"
Rudi darasani kisha rejelea historia nzima ya watu waliosambaratishwa pamoja na kuwa na umoja wao halisi. Mfao kawasome mandika peoplekiunzikisha post: 30761082 said:"Katika uhalifu huwa hakuna umoja mkitikiswa kidogo tu umoja wenu unasambaratika,huwa ni unafiki tu siyo umoja harisi ,Mara nyingi umoja harisi hudumu na utokana na haki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu umenikumbusha mbali sana. Rais wa Tanzania ni sawa kama ulivyosema, asiwe mwlimu wala mwana sheria na mtu ambaye amesomea kitu chochote kile chenye neno "management" mwishoni. Kundi hili la wasomi ni destructive sana katika maisha ya binadam ulimwenguni, kwani hawako pragmatic.Leo niliwaza miradi hii mipya mikubwa ya maendeleo kama Airbus , Stieglers na SGR ni miujiza ya karne ya Mh Rais, niliwaza ili bongo tuendelee kwa kasi tunahitaji Rais wetu awe na taaluma ya ualimu (discipline mbele "we mhuni kuja hapa, kwanini hujachomekea shati unatuletea bangi hapa si mahali pake kima we, shika chini , pa pa pa! , kimbia mjinga wewe, mara! "sijaona kijana mjinga na legelege kama wewe baba yako si ni professa wewe , mbona we unafeli hivi , kazi kudai pocket money tu na kukazania Instagram na videmu mjinga mkubwa wewe baba yako ni rafiki yangu nitamtafuta nimwambie ujinga wako huku shuleni", mara "we msichana tembea kwa ukakamavu huoni uko smart area , kuja hapa haraka kazi kufuga makucha tu kama shetani ndo mwanzo wa uhuni huu na kutoa mimba za utotoni mjinga kabisa wewe! piga magoti ita jua!!) hizi tabia za walimu kuhakikisha usafi na discipline mashuleni sasa tunashuhudia ndo kiboko ya majizi na mazembe yaliyoko serikalini manake Bwana Mkubwa hakwepeshi anawatumbua tu na huu ni utamaduni mpya uliotukuka , unaohitajika na uliokosekana na unaopaswa kusifiwa na kuenziwa daima milele, nawasihi viongozi wangu waandae hidden policy ya chama chetu Rais lazima awe mwalimu kitaaluma na asitokane na zile koo za mafisadi na zile koo zenye majina ambazo mtu mzito tu akitekwa ndo wako mbele mbele na kiherehere na pia Rais asitokane na zile koo za wale wazee waliochanga pesa mwana TANU namba moja akaenda kuhutubia UN! Wenye akili watanisoma!
Mzee kajitahidi lakini vijana wanateseka bila ajira. Vijana kutoka mwaka 2015 mpaka Leo hawana vision wala matumaini juu ya maisha yao. Nadhani kuna kizazi kinakwenda kupotezwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu tunashindia mlo mmoja afu mmekua donor county?Hivi uchumi wa wananchi upo vile kwa serikali ya uchumi wa kati maana ndio tunaelekea sasa 2020 kuwa geniva ya afrika aka donor country!!!!!?
Umesoma mpaka la ngapi?Mh rais ahsante,Ila
Ila tunaomba upande wa pinzani
Awaache wapumue kidogo,
Maana kuna wabunge tayari
Wamezoe mahakama kaa vile
Nyumbani kwao tu! Mh ipe demokrasi nafasi yake! Wakivunja sheria kwa mujibu wakatiba sawa! Sheria ichukue mkondo wake! Japo mh hata hyo katiba ibadilishwe! Tumeichoka,
View attachment 1045418
Sent using Jamii Forums mobile app