Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 3,805
- 1,873
Sijui haya yameandikwa, maana sijapitia yote, lakini nitayaandika tu:
- Katishia wakurugenzi aliowaajiri, kama watamtangaza mpinzani kashinda ktk chaguzi atawafukuza kazi.
- Kaleta nidhamu ya uoga makazini
- Kafunga mtanzania miezi 6 eti kwa kusema tu "Rais Magufuli ni kitu gani bwana".
- Kashindwa kumshughulikia Makonda na vyeti vyake FEKI.
- Kashindwa kutoa ajira kwa vijana waliomaliza vyuo na kuwatosa mitaani.
- Kashindwa kutoa maelezo 1.5 trilion zimetumikaje.