Kilaza ni Jiwe asiyependa kupingwa na kuwa weka ndani watu na kuwapa kesi za ujumu uchumi na kuwapiga risasi watu wasio na hatia
 
Mkuu Nigrastratatract umesahau kuandika contact zako

Jiwe huwa anawapenda sana watu wa dizaini yako wa "kusifu na kuabudu" ili awape nafasi za uteuzi wa u-DC
 
Hayo ni majukumu ya Rais ambapo kodi zetu ndio zimefanikisha hayo anayoyafanya. Labda tuseme ameweza kusimamia matumizi Ya kodi zetu. Ndio maana huwa anahimiza sana ulipaji kodi na anawashukuru sana walipa kodi wake. Tunaonekana ni washabiki tuu lkn hatujui tunaemchagua na kumpa kura zetu akishakuwa rais anapaswa afanye nini, na sie wajibu wetu ni nini kama wapiga kura. Basi mleta mada unadhani hiyo ni favour kwetu, huo ndio wajibu wake. Tena nilitegemea tuwe na state mining company yenye nguvu sana, oil company na gas company zenye nguvu kubwa. Tungeweza tumia wataalam wa kichina kwenye hizi sector tungefanikiwa sana. Iran walikomba wataalam wa mambo ya nyuklia toka Urusi iliyosambaratika na kuweza kufika hapo walipo.
 
Tatizo lenu vile mnavyolipwa nyie ili mfanye Tabia za kipumbavu na kishenzi msifikiri kila mtu anafanya hvy kijana unaongea na milionea anyetegemewa na watu zaidi ya 100
Haahahhaaaa,kapuku wa lumumba huna jipya!Lamba viatu vya watu upate kuishi!
 
Njoo kijana ntakupa ajira usijali mm sina kinyongo mkuu
Huna uwezo kuniajiri,hapa penyewe nalamba zaidi ya 2.8 a month,ukiacha marupurupu!Vijana wa sasa mnatafuta hela kwa kuuza hata utu wenu!Sisi wengine ni wapambanaji japo tupo kwwnye ulaji,mimi na wenzangu ndio tulianzisha tifu pale UD COET mpaka boom likatoka 5000 mpaka kufika 7500 per day!So kupigania haki kuko toka kitambo,sio njaa njaa za kipuuzi mnazotangaza mpaka kuuza utu na akili zenu,shwain!
 
Katika kipindi kifupi cha miaka 4 tumeshuhudia Rais wetu akisimamia kwa nguvu miradi mingi yenye thamani kubwa ya fedha na yote inatambaa kwa nguvu na speed kubwa.

Ni katika nchi hii tuliaminishwa kuwa hakuna hela, hela zinapatikana nje ya nchi tu. Lakini leo mheshimiwa rais amesema hela zipo hapa na nje hatoki na miradi inakwenda vizuri. Ni lazima tujiulize hizi hela zilikuwa wapi?

Badala ya kulalamika tujifunze mbinu anazotumia kupata fedha. Tuache kufanya kimoja kimoja kama tunaendesha familia zetu. Tukumbuke hii ni nchi siyo familia.
Rais wetu ana akili nyingi sana.

Tena katika kipindi cha miaka hii minne hata wazungu wasingeweza kwenda na hizi multiple and giant projects Kwa wakati mmoja. Only geniuses can do this.

Kwa wakati mmoja amefanya yafuatayo na yote yanatambaa.:

1. Ujenzi wa barabara zote zinaendelea na zina kamilika kwa wakati.

2. Ujenzi wa bwawa la umeme unaendelea na mkandarasi yuko sight

3. Ujenzi wa hospitali na vituo vya afya umekamilika kote nchini

4. Ujenzi wa stand za kisasa za mabasi nchi nzima

5. Ujenzi wa masoko nchi nzima

6. Ujenzi wa machinjio za kisasa

7. Ujenzi reli unaendelea

8. Ununuzi wa ndege

9. Uanzishwaji wa viwanda nchi nxima. Hadi sasa viwanda vimefufuliwa na kujengwa upya zaidi 4000.

10. Madawa supply ipo constantly kuanzia ngazi ya zahanati hadi hospitali ya taifa

11. Usambazaji wa umeme mijini na vijijini unaendelea kwa kasi

12. Elimu bure inaendelea

13. Mishahara inalipwa kwa wakati.

14. Upanuzi wa viwanja vya ndege

15. Kuhamia Dodoma walisema hawezi sasa ameweza. Na amejenga temporary offices za wizara na permanent Ikulu.

16. Ujenzi wa hospitali ya uhuru

17. Ununuzi wa vivuko na meli

Yote haya yanakwenda kwa wakati mmoja. Only geniuses can do this coz anakuwa na planning.

Sasa vilaza ndo wanalalamika wanaona maajabu. Jamani ni kawaida tu msishangae tunachapa kazi. Na zote zitakamilika kwa 100% tumpe nafasi rais wetu achape kazi vilaza acheni kulalamika.

Usifikirie kama unaendesha familia yako fikiria kama unaendesha nchi. Hatutaki twende na kimoja kimoja nchi kubwa hii hatuta fika kwa wakati tunaotaka.

Tumechelewa mno, tumeibiwa mno.

Badala ya kumshukuru Mungu kwa zawadi ya rais wetu watu tuache kubeza juhudi hizi. Tumshukuru Mungu ampe afya njema rais wetu ili tufike mbali. Baada ya kipindi chake yawezekana tusipate mwingine kama huyu.

Tuache genius wetu afanye kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlio karibu na raisi mumshauri atoe na ajira kwa waalim,
Wamejazana mtaani Hali si shwari, na ndio tabaka pekee linaloongoza kuponda juhudi, thus y wakipata nafasi at least ya kupata pesa za kujikimu kimaisha kelele zitawaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20200109-164348.jpeg


Sent using kusikojulikana
 
Kasome tena hiyo sayansi yako vizuri ili uweze kuelewa kuwa dunia haiwezi hata mara moja ikapita katikati da ya mwezi na jua wakati mwezi unautegemea dunia ku exist.

Kama dunia na mwezi vyote kama unit vina tegemea nguvu za jua kuweza ku move kwenye orbit, basi ili tukio la kupatwa kwa mwezi liweze kutokea inabidi dunia iwe katikati na sio ipite katikati, kwani ni mwezi ndiyo unao move from the point of view of the earth na sio vinginevyo. Mwezi unaizunguka dunia. Mwezi ni Seatellite ya dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasome tena hiyo sayansi yako vizuri ili uweze kuelewa kuwa dunia haiwezi hata mara moja ikapita katikati da ya mwezi na jua wakati mwezi unautegemea dunia ku exist.

Kama dunia na mwezi vyote kama unit vina tegemea nguvu za jua kuweza ku move kwenye orbit, basi ili tukio la kupatwa kwa mwezi liweze kutokea inabidi dunia iwe katikati na sio ipite katikati, kwani ni mwezi ndiyo unao move from the point of view of the earth na sio vinginevyo. Mwezi unaizunguka dunia. Mwezi ni Seatellite ya dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapigie simu azam uwaambie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapigie simu azam uwaambie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Azam hawaja weka bandiko hili JF. Ni maandiko yako. Kama uli Quote kwa kuto kuelewa basi next time you better be accurate.

Informations kama hizo mtoto wa darasa la tatu akizisoma ataamini kuwa kweli dunia ina pita katikati ya mwezi wakati sio kweli.

Usipende kutoa taarifa za kitaalam kama vile unavyotoa stories za kanga chini ya mwembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Azam hawaja weka bandiko hili JF. Ni maandiko yako. Kama uli Quote kwa kuto kuelewa basi next time you better be accurate.

Informations kama hizo mtoto wa darasa la tatu akizisoma ataamini kuwa kweli dunia ina pita katikati ya mwezi wakati sio kweli.

Usipende kutoa taarifa za kitaalam kama vile unavyotoa stories za kanga chini ya mwembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MURUSI,
Tupo kwenye ukoloni mamboleo, watu wana uroho na ulafi wa madaraka, mtu anafanya kwa ajili yake na sio kwa ajili ya wananchi kwahiyo sidhani kama kuna vitu vipya kwenye uongozi mtu anaweza kufanya zaidi ya kuendeleza alivyovikuta
 
Huenda hii kusifia ni maagizo maalumu maana kwa kweli inakera. Lundo la wasanii wote wanasifia hata wasivyovijua. Huku kina Lemutuz ndiyo ujinga wanaotuletea. Emb wana CCM muwe walau na akili kidogo ya kujitambua kama punje ya mtama walau itawasaidia. Mnaonekana zero vichwani mwenu.

Nilidhani watu wanawasema vibaya kwa kusifia hata kupatwa kwa jua ila kwa huyu mbumbumbu basi nimeamini kuwa mlisifia.
Screenshot_20200117-102026_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom