10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kaweza kujenga

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2
Nyingine 3 ziko mbioni kuja.
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
Kuna mengine umesahau
.kutokutangaza ajira

Ugumu wa maisha kuongezeka Mara dufu

Kufukuza watu kwenye ajira kwa vyeti feki huku bashite akiachwa
 
Kuna mengine umesahau
.kutokutangaza ajira

Ugumu wa maisha kuongezeka Mara dufu

Kufukuza watu kwenye ajira kwa vyeti feki huku bashite akiachwa
Ajira gani unazungumzia?
Ukitoa walimu na madaktari ambao bado nao ni wanaonekana kuwa wengi.
Ajira za kada zingine kwa mashirika ya serikali zinatangazwa kila siku pitia wovuti ya utumishi Mkuu.
 
Magufuli amefanikiwa kuwageuza wapinzani na kuwa na akili za hovyo kama hivi

Chadema wameweza kufanya haya kwa nchi yetu kwa muda mfupi Sana mara tu baada ya Lowasa kujiunga na chama chetu,.

Hata kabla ya kushika dola chadema tumekuwa na ujasiri wa kuifanyia haya nchi yetu pendwa Tanzania.

1. Kutetea kila aina ya wakwepa kodi

2. Kutetea na kupokea kila aina ya fisadi wa nchi hii
3. Kupinga watu wasilipe kodi.
4.Kutetea wauza madawa ya kulevya na kuwakumbatia kwenye chamá chetu.

5. Kupinga hadharani viroba visifungiwe, hivyo kuhamasisha Viana waendelee kutumia viroba.
6. Kupinga serikali kubana matumizi ,ikiwemo kujenga hosteli za bei nafuu pale UDSM.

7. Kupinga serikali kuzuia safari za nje.
Maana yake sisi tukishika dola, watu watasafiri nje kama wanavyotaka.
8. Kupinga mkandarasi aliyechelewesha kwa makusudi mradi wa maji Lindi asinyang'anywe passport .
Hivyo sisi tukiingia madarakani wakandarasi hata wakichelewesha mradi itakuwa poa tu.

9. Tumeweza kushangilia hadharani kila polisi wanapouawa na majambazi
10. Tumeweza kuwachangia pesa watu wanao tukana matusi mitandaoni ili wasiende jela.
11. Tumeweza kutetea wazembe kazini, na kuwakumbatia wote waliotumbuliwa.

Swali la kujiuliza kama tumeweza kufanya haya kabla ya kushika dola, je tukishika dola itakuwaje??
 
10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kaweza kujenga

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2
Nyingine 3 ziko mbioni kuja.
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
Mbona hizo ni kazi ambazo hata Meya wa Dar angefanya tu bila kuwa na figisu. Rais wa Tanzania anapimwa ufanisi na kazi zilizofanyika Dar?
Majimbo ndio suluhu ya maendeleo yetu.
 
10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kaweza kujenga

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2
Nyingine 3 ziko mbioni kuja.
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
Kiwanja cha ndege chato umekisahau hii
 
Back
Top Bottom