Ule wimbo unaosema hakuna mwanaume kama Yesu, kwa kweli hajawahi tokea Mwanaume kama Yesu.
Tangu dunia iumbwe, na sasa Tanzania tumepata mwanaume ambaye ameweza kuwadhibiti wale waliokua wanakwapua fedha za walipa kodi na kuzileta mtaani, na kusababisha tija zero kwenye uchumi wetu.
Hela pekee inayokuja mtaani ni mishahara tu na ya miradi ya maendeleo.
Sasa kwa kweli nisiseme uongo huyu ndiewanaume anaesimamia 1 na iwe 1 na sio moja iwe 2.
Hongera JPM.
Kuna mabosi wanaokaba SANA maofisini ili kikusanyike kwa wingi na wao ndo wapige kingi.... Anyway 1.5T unajua zilikwenda wapi?
 
Kwa hiyo unamaanisha huo wimbo wa hakuna mwanaume kama Yesu umeshakuwa zilipendwa?
 
Jpm yuko sawa japo somtyme anazingua, lakn angalau wananchi wanatumaini, mikwara yake inasaidia sana kiutendaji..siku akitoka madarakan watamuelewa pale watakapoona mkurugenz anazpiga hela za miradi bila pressure yyte huku akiwachekea, na hawana pa kumshitak, mana aliyeko madarakan ni mdebwedo
 
Ule wimbo unaosema hakuna mwanaume kama Yesu, kwa kweli hajawahi tokea Mwanaume kama Yesu.
Tangu dunia iumbwe, na sasa Tanzania tumepata mwanaume ambaye ameweza kuwadhibiti wale waliokua wanakwapua fedha za walipa kodi na kuzileta mtaani, na kusababisha tija zero kwenye uchumi wetu.
Hela pekee inayokuja mtaani ni mishahara tu na ya miradi ya maendeleo.
Sasa kwa kweli nisiseme uongo huyu ndiewanaume anaesimamia 1 na iwe 1 na sio moja iwe 2.
Hongera JPM.
Vipi kile kivuko kibovu?
 
Kwa hiyo we ni mwanamke?
 
Jpm yuko sawa japo somtyme anazingua, lakn angalau wananchi wanatumaini, mikwara yake inasaidia sana kiutendaji..siku akitoka madarakan watamuelewa pale watakapoona mkurugenz anazpiga hela za miradi bila pressure yyte huku akiwachekea, na hawana pa kumshitak, mana aliyeko madarakan ni mdebwedo
Akitoka madarakani ndo pale mtakapoona uovu na ufisadi wa huyu mtu ambao hivi sasa umefichika kwa kuminya uhuru! Mkapa alikuwa nusu ya Magufuli na akaaminisha dunia mzima kwamba yeye ni Mr. Clean! Alipotoka tu madarakani, miezi michache baadae zikagundulika kashfa zifuatazo-
-Radar Scandal
-EPA Scandal
-Meremete, Deep Green, Kagoda
-Kujiuzia mgodi wa makaa ya mawe huko Kiwira
-Kuanzisha kampuni ya Ann Ben wakati akiwa Ikulu

Sasa endeleeni kuhadaika na hizi staili za Magu lakini nae ni mwizi tu!!!
 
Hayupo kiongozi msafi duniani hapa, hayupo hata mmoja, unamtupia lawama Mkapa lakn issue zake nyingi zinahusu parchasing kitu ambacho hata ww ukienda dukani unaweza uziwa simu mbovu kwa bei ya simu mpya, hyo ni kawaida tu unapokosa umakni na uelewa wa kitu unachokitaka,

na kamwe hauwez kuwa ofisini usijiangalie na ww hiyo haipo, ni fala tu anayeweza fanya kazi kwa maslahi ya wengine bila yeye kujijali, Nyerere alijarbu hilo nowdays watu wanamuona ni kilaza...

Na huwez kuzuia ufisadi na rushwa kwa 100% hilo haliwezekani, utakachofanya ni kufigth ili kupunguza..ni kweli tutayaona maengi akitoka madarakani bado ukweli utabaki palepale jamaa ni jembe na atakumbukwa tuu, somtyme watatamani hata nyakat zake zijirudie...

Labda ww utuletee kiongozi msafi na mwadilifu,
Kama Mbowe tu anakashifa kibao ....
 
You're very funny unaposema eti Mkapa issues zake nyingo zinahusu purchasing!! Ina maana hufahamu sehemu kubwa ya ufisadi duniani inafanyika kupitia manunuzi?! Unauziwa vipi simu mbovu wakati wewe ni mtaalamu?! Tanzania tuna watalaamu kila idara, na tunapokosa, tunaweza ku-hire mtaalamu temporarily halafu bado kiongozi wizara yake inanunua boti isiyo na viwango halafu unatetea hilo ni jambo la kawaida?!

Hapo hakuna suala la kukosa umakini bali wanaofanya wanajua wanachofanya!

Hoja hapa ni kwamba hata Magufuli nae ni fisadi tu kwahiyo tusidanganyane! Kama sio fisadi aweke mambo wazi! Ufisadi wa Kikwete WOTE ulionekana wakati yupo madarakani kwa sababu aliweka mambo wazi! Magufuli kwa kuona majanga mengi ambayo yalimkuta Kikwete ni kwa sababu aliweka mambo wazi, yeye akaamua kufunga mlango wa uwazi, matokeo yake leo hii unaweza kwenda pale bungeni uulize mchakato wa ununuzi wa ndege umefanyika fanyika vipi na usipate wa kukueleza!
 
Ule wimbo unaosema hakuna mwanaume kama Yesu, kwa kweli hajawahi tokea Mwanaume kama Yesu.
Tangu dunia iumbwe, na sasa Tanzania tumepata mwanaume ambaye ameweza kuwadhibiti wale waliokua wanakwapua fedha za walipa kodi na kuzileta mtaani, na kusababisha tija zero kwenye uchumi wetu.
Hela pekee inayokuja mtaani ni mishahara tu na ya miradi ya maendeleo.
Sasa kwa kweli nisiseme uongo huyu ndiewanaume anaesimamia 1 na iwe 1 na sio moja iwe 2.
Hongera JPM.
Haya mpe wanachopewa wanaume
 
Na Shilatu E.J

1. Amesimamia vyema utolewaji wa ELIMU BURE kuanzia shule ya msingi hadi sekondari kwa wanyonge.

2. Amesimamia vyema mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi nchini.

3. Amesimamia vyema kulinda maisha na kuhakikisha rasilimali za nchi ni mali ya Watanzania wote.

4. Amesimamia vyema nidhamu, uwajibika na uadilifu kwa Watumishi wa umma

5. Amefufua shirika la ndege la ATCL kutoka kutokuwa na ndege hadi kuwa na ndege mpya 6 za kisasa zinazopasua anga za kitaifa na kimataifa.

6. Amesimamia Tanzania kufika uchumi wa kati unaokuwa kwa asilimia 7.1% kupitia mafanikio ya sera ya Tanzania ya viwanda zaidi ya 3000 vilivyojengwa.

7. Amesimamia vyema Serikali kuhamia Dodoma ikiwa ni ndoto aliyoiacha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

8. Amejenga reli ya kisasa yenye kasi inayotumia umeme (SGR) na kufufua reli ya Dar - Tanga - Moshi Kilimanjaro.

9. Ameongeza makusanyo ya mapato ya ndani na kusimamia nidhamu ya matumizi ya pesa.

10. Amesimamia ujenzi wa mradi wa umeme Mto Rufiji wa Stiglers gogle utakaozalisha megawatts 2115.

11. Amesimamia ujenzi miundombinu ya kisasa ya mitandao ya barabara, flyover na madaraja.

12. Amekomesha biashara ya ujangiri na madawa ya kulevya nchini.

13. Ameleta maboresho ya afya nchini kwa kujenga hospital zaidi ya 57, vituo vya afya zaidi ya 350, ununuzi wa madawa na vifaa tiba hospitalini.

14. Ameisimamia vyema katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kulinda amani na usalama nchini hali inayofanya Watanzania tuendelee kujivunia uhuru wetu na kuvutia Watalii nchini.

15. Amejenga umoja, mshikamano wa kitaifa nchini.

*Rais Magufuli ameyafanya yote haya, Mimi ni nani haswa nisimchague tena 2020*
 
Hongera wewe mwanamke

Back
Top Bottom