Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,818
- 71,507
Mkuu nadhani mngewaacha wabwabwaje tu humu mitandaoni sisi tumalize kazi uwanjani.Sijui mashabiki wengi wapinzani wa lfc wanatoa wapi ujasiri wa kusema,. Liverpoolfc miaka yote wako ivi ivi.
Niwashauri wakaangalie stats za liverpoolfc misimu 10 nyuma kwa mechi 6 pekee,. alafu waje wazungumze kua tunaanzaga hivi hivi tu.
We have a complete different start of the season over after 25+ years...
YNWA
Sipatagi kabisa mzuka wa kubishana na watu wanaopinga facts. Nikishaona huyo kichwa ngumu huwa naachana nao tu nisije kuonekana na mimi mjinga.
Sisi tushikamane kwa hali zote tuishangilie timu yetu. Maneno mengi kumwelewesha chizi mwisho wa siku utaonekana wewe ndio chizi.