Sijui mashabiki wengi wapinzani wa lfc wanatoa wapi ujasiri wa kusema,. Liverpoolfc miaka yote wako ivi ivi.

Niwashauri wakaangalie stats za liverpoolfc misimu 10 nyuma kwa mechi 6 pekee,. alafu waje wazungumze kua tunaanzaga hivi hivi tu.

We have a complete different start of the season over after 25+ years...
YNWA
Mkuu nadhani mngewaacha wabwabwaje tu humu mitandaoni sisi tumalize kazi uwanjani.

Sipatagi kabisa mzuka wa kubishana na watu wanaopinga facts. Nikishaona huyo kichwa ngumu huwa naachana nao tu nisije kuonekana na mimi mjinga.


Sisi tushikamane kwa hali zote tuishangilie timu yetu. Maneno mengi kumwelewesha chizi mwisho wa siku utaonekana wewe ndio chizi.
 
Liverpool FC 2018/19 Stats

Goals
• Sadio Mane - 4
• Roberto Firmino - 3
• Mohamed Salah - 3
• James Milner - 2
• Daniel Sturridge - 2
• Joel Matip - 1
• Georginio Wijnaldum - 1
• Own goal - 1

Assists
• Andy Robertson - 3
• Roberto Firmino - 2
• James Milner - 2
• Mohamed Salah - 2
• Trent Alexander-Arnold - 1
• Virgil van Dijk - 1
• Georginio Wijnaldum - 1

General
• Games Played: 6
• Average Possession: 58%
• Duels Won: 48%
• Aerial duels won: 42.6%
• Offsides: 16

Source: www.Liverpoolfc.com
nice one esp hapo kwenye average possession na bado pointi tumepata za kutosha so far....ile heavy metal ya Klopp kwa sasa haija applied ila ubao wa pointi unasoma poaaaa...YNWA
 
Malafyale uko sahihi sana ubingwa msimu huu ni kati LFC na Man City!

Chelsea tupilia uko na sababu ya msingi ambayo inaifanya Chelsea isiwe cotenders ni kua so far Chelsea haina top striker ambaye atakua anacheka na nyavu muda! ingawa Chelsea imekamilika idara zote ila hawana top striker! hii kitu hata Sarri mwenyewe anajua tatizo LA team yake!

wamekua wana muover work sana Hazard siku akipata majeruhi utakuja waurumia Chelsea,
kumkosa Lukaku kuliwaumiza sana...
 
Liverpool FC 2018/19 Stats

Goals
• Sadio Mane - 4
• Roberto Firmino - 3
• Mohamed Salah - 3
• James Milner - 2
• Daniel Sturridge - 2
• Joel Matip - 1
• Georginio Wijnaldum - 1
• Own goal - 1

Assists
• Andy Robertson - 3
• Roberto Firmino - 2
• James Milner - 2
• Mohamed Salah - 2
• Trent Alexander-Arnold - 1
• Virgil van Dijk - 1
• Georginio Wijnaldum - 1

General
• Games Played: 6
• Average Possession: 58%
• Duels Won: 48%
• Aerial duels won: 42.6%
• Offsides: 16

Source: www.Liverpoolfc.com
Mkuu, hao wamemsahauje Shaqiri hapo kwenye assists?!
 
Kadri siku zinavyosogea nashindwa kutofautisha alichoandika Mentor, eden kimario na Ollachuga Oc.

Nahisi kama wanapokezana kuja kucoment hapa kwenye huu uzi.
kwa "chuki" zao kwa kweli ni ngumu kuwatofautisha ila mpaka tunafika katikati ya ligi hapa hutawasikia tena watakua wanachungulia na kutoka mbio maana kila wakitabiri ooh leo mnafungwo sis haoo ushindi....
in Klopp n his Red Army we Trust..YNWA
 
cograts sana Mo Salah
IMG-20180924-WA0059.jpeg
View attachment VID-20180924-WA0060.mp4
 
Hii FiFA XI ni kituko tupu wala haina reflection to reality

Yani Courtois hayupo ambaye ndie kipa bora ila De gea ambaye hata ktk 3 bora hakuwepo kuwania tuzo kaingia,Dani alves ambaye hajafanya la maana na alikuwa majeruh kaingia mbele ya Carvjal,Kimmich a disgrace,Mo Salah ambaye kafunga goli nying sana last season na kuwa ktk 3 bora ya Uefa naye hayupo

Disgrace
 
Hii FiFA XI ni kituko tupu wala haina reflection to reality

Yani Courtois hayupo ambaye ndie kipa bora ila De gea ambaye hata ktk 3 bora hakuwepo kuwania tuzo kaingia,Dani alves ambaye hajafanya la maana na alikuwa majeruh kaingia mbele ya Carvjal,Kimmich a disgrace,Mo Salah ambaye kafunga goli nying sana last season na kuwa ktk 3 bora ya Uefa naye hayupo

Disgrace

Ila Puskás Award umeona iko sawa tu kwa kua ni Salah,nenda kaangalie migoli ambayo ilikuwemo kwenye kinyang'anyiro alafu rudi uwe mkweli kama alistahili.
Tukiamua kukosoa ni vema tukakosoa vyote hata ambavyo vimetubeba sisi ndio sifa ya kua mkweli,nakubaliana na wewe kikosi kina mapungufu pia ila hayakuishia hapo.
 
Back
Top Bottom