Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC 2018/19 Stats

Goals
• Sadio Mane - 4
• Roberto Firmino - 3
• Mohamed Salah - 3
• James Milner - 2
• Daniel Sturridge - 2
• Joel Matip - 1
• Georginio Wijnaldum - 1
• Own goal - 1

Assists
• Andy Robertson - 3
• Roberto Firmino - 2
• James Milner - 2
• Mohamed Salah - 2
• Trent Alexander-Arnold - 1
• Virgil van Dijk - 1
• Georginio Wijnaldum - 1

General
• Games Played: 6
• Average Possession: 58%
• Duels Won: 48%
• Aerial duels won: 42.6%
• Offsides: 16

Source: www.Liverpoolfc.com
 
Usimuangalie Chelsea pekee Kuna na Man City Ambaye Pia Ana Nafasi Kubwa Kuwin EPL Msimu huu.
Lkn msimu huu bingwa hadi mechi ya mwisho!
Sioni popte kati ya Liverpool vs Man City wa kumuacha mwenzake points 20+ kama msimu uliopita!
Tumeweza mno kufukia gap lote
Ligi ngumu msimu huu ni Liverpool na Man City!
 
Lkn msimu huu bingwa hadi mechi ya mwisho!
Sioni popte kati ya Liverpool vs Man City wa kumuacha mwenzake points 20+ kama msimu uliopita!
Tumeweza mno kufukia gap lote
Ligi ngumu msimu huu ni Liverpool na Man City!
Keep dreaming..mko hivi misimu yote.
 
Keep dreaming..mko hivi misimu yote.

Mkuu Mentor Maranyingi huwa Sikosoi Mawazo Yako lakini Kwahili Ninakupinga.

Hapa umeongea Kwa ajili ya Kujifariji tu Kuwa utamaliza ligi juu yetu.

Ukweli unaujua Wazi Kuwa Hatujawahi Kuwa hivi Kwenye Ligi Zaidi ya Miaka 30.

Hata Last Season Kwenye Michezo Yetu 6 ya mwanzo Tulipigwa 5 - 0 na Man City, Tukapigwa 4 - 1 na Spurs, Tukadraw na Watford, na Matokeo mengi mabaya.

Ukiangalia Na Nyuma Ya Hapo pia Ni hivyohivyo Tulikuwa na Rekodi mbaya zaidi Kiasi ya Kwamba Muda kama huu Tuna points si zaidi ya 10.

Leo nakushangaa unasema miaka yote tunakuwa Kama hivi.

Kama Utafuatilia Vizuri Last season Kuanza Mwanzo Wa Ligi Mpaka January tulikuwa Taabani.. Tulikuja Kuzinduka Kuanzia February baada Ya Kuja VVD.

Lakini Marahii tumezinduka Mwanzo Wa Ligi halafu unasema Miaka yote tunakuwa hivihivi!!!

Mkuu kwa hapo Huna reason ya kuweza Kuback up your Claim.

Hatujawahi Kuanza ligi hivi Hata Siku moja Kwani Kijitimu Kama Soton kilikuwa kinatupiga nje ndani, Kwenye Uwanja Wa Lesta ilikuwa lazima tuangukie pua! Na Wembley tulikuwa hatuna Ujanja Kwa Spurs.
Lakini Marahii Tumewanyoosha wote...

Mshabiki yoyote Wa Mpira basi Anajua Kama Kwenye Soccer Change ipo... Hakuna kitu CONSTANT katika Soccer.. Na Unapozungumzia Mpira Kwa Facts na si Jealous basi utakubali Kuwa Liverpool Msimu huu Ni Tofauti na Misimu iliyopita.

Mara hii we are different Mkuu.
 
Lkn msimu huu bingwa hadi mechi ya mwisho!
Sioni popte kati ya Liverpool vs Man City wa kumuacha mwenzake points 20+ kama msimu uliopita!
Tumeweza mno kufukia gap lote
Ligi ngumu msimu huu ni Liverpool na Man City!

Do Not Underestimate Chelsea Mkuu! Hakuna Possibility yoyote Ya Kuwatoa Chelsea Katika Nafasi ya Kugombania Ubingwa.
Chelsea kwa 100% Ni Tittle Contender.
 
Do Not Underestimate Chelsea Mkuu! Hakuna Possibility yoyote Ya Kuwatoa Chelsea Katika Nafasi ya Kugombania Ubingwa.
Chelsea kwa 100% Ni Tittle Contender.
No hawana beki
Matatizo ya Chelsea leo ya beki alikuwa nayo Liverpool miaka miwili mfululizo iliyopita,forwards nzuri beki mbovu!
Kaumia Rudiger sasa atacheza Luizi na Cahil au Christansteen
Beki ile haiwezi ikakupa ubingwa
 
Nasemaaa..mko hivihivi misimu yote.
Unajifariji tu
Lini Liverpool akaongoza kw akufungwa bao chache ktk ligi kwenye mechi ya 6 ?
Lini Liverpool akashinda mechi zote 6 za ligi?
Lini Liverpool alikuwa na kikosi kipana hivi?
Unajifariji kaka,mwaka huu ni ama Liverpool au Man City
Nyie jengeni bado team
You cant even beat trash WHU ?
 
No hawana beki
Matatizo ya Chelsea leo ya beki alikuwa nayo Liverpool miaka miwili mfululizo iliyopita,forwards nzuri beki mbovu!
Kaumia Rudiger sasa atacheza Luizi na Cahil au Christansteen
Beki ile haiwezi ikakupa ubingwa
Malafyale uko sahihi sana ubingwa msimu huu ni kati LFC na Man City!

Chelsea tupilia uko na sababu ya msingi ambayo inaifanya Chelsea isiwe cotenders ni kua so far Chelsea haina top striker ambaye atakua anacheka na nyavu muda! ingawa Chelsea imekamilika idara zote ila hawana top striker! hii kitu hata Sarri mwenyewe anajua tatizo LA team yake!

wamekua wana muover work sana Hazard siku akipata majeruhi utakuja waurumia Chelsea,
 
IMG-20180924-WA0000.jpg
 
Sijui mashabiki wengi wapinzani wa lfc wanatoa wapi ujasiri wa kusema,. Liverpoolfc miaka yote wako ivi ivi.

Niwashauri wakaangalie stats za liverpoolfc misimu 10 nyuma kwa mechi 6 pekee,. alafu waje wazungumze kua tunaanzaga hivi hivi tu.

We have a complete different start of the season over after 25+ years...
YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom