Mmesahau kitu kimoja Pep kiboko yake ni Klop, kwahiyo hawezi kufika hat kwenye fainali ikiwa anabahati mbaya ya kukutana na Klop kwenye mtoano.
Na Ukumbuke Kuwa Barca aliyokuwanayo Hakuwa na Sababu ya Kutokushinda CL Back2Back ingawa Hakufanya Hivyo.. Na aliiacha Barca ikiwa Tayari Kuna Wachezaji ambao Ni Key Players (Xavi, Puyol, David Villa, Eric Abidal) Umri umeshaanza Kupinduka that is Makocha Waliomfuatia Walikuwa Ni Vigumu Kushinda CL.

Na Kuhusu Bayern ilikuwa na Kikosi Bora alipopewa Chenye Nusu ya Wachezaji Wake World Class Kwahiyo Alikuwa na Jukumu la Kujifanya Timu ishinde CL na si Kusema Kuwa Hata Makocha Wengine Hawajashinda.. Yeye Tunaaminishwa Kuwa Ni Kocha Bora Kwahiyo aoneshe Ubora Wake Kwa Kuibadilisha Bayern Yenye World Class Players ishinde CL.

Pia Jukumu la Kuibadilisha City ishinde CL Ni yeye Pep.

Lakini ukweli usiopingika Ni Kuwa Pep Hawezi shinda CL akiwa na City.
 
.
IMG_20180923_200927_055.jpg
 
Back
Top Bottom