Ukitaka kujua liverpool ni ya kawaida sana na wachezaji wa kawaida angalia kikosi cha wanaume 11 waliopigiwa kura
Hata kisalah wamekichinjia baharini

Liverpool Ni Timu Ya Kawaida Kweli na Wachezaji Wake Ni Wa Kawaida lakini Siku Kama Ya Leo Wiki iliyopita imemfunga Huyo aliyetoa Mwanamme Katika Hao Wanaume 11.
Na Msimu uliopita Kwenye EPL na Kwenye CL imemaliza juu ya Timu yako iliyotoa Wanaume Wawili Katika Hao 11.
Na Msimu Huu Pia tupo juu yako.

Kwa ukawaida Huu Basi Ni neema Kwetu wala hautukeri.
 
Sasa kama messi ni bora kuliko salah ilikuaje kwenye tatu bora akaingia salah

Sasa hilo Ndiyo swali la Wewe kujiuliza mwenyewe Ni Si Wewe Kutuuliza sisi.

Kioja Hichi ni Cha Ajabu Ya Peke Yake.

Salah Kachaguliwa Mchezaji Bora Wa Dunia Wa tatu Wa FIFA Nyuma ya Modric na Ronaldo.
Lakini Katika Kikosi cha Watu 11 hayumo... Wachambuzi Wanauliza Huyo aliyechukua Nafasi Yake Kwenye 11 ya FIFA kwanini asiwe yeye Kwenye Tatu bora??? Jibu wanalo FIFA Si Mimi wala Wewe.
 
Liverpool Ni Timu Ya Kawaida Kweli na Wachezaji Wake Ni Wa Kawaida lakini Siku Kama Ya Leo Wiki iliyopita imemfunga Huyo aliyetoa Mwanamme Katika Hao Wanaume 11.
Na Msimu uliopita Kwenye EPL na Kwenye CL imemaliza juu ya Timu yako iliyotoa Wanaume Wawili Katika Hao 11.
Na Msimu Huu Pia tupo juu yako.

Kwa ukawaida Huu Basi Ni neema Kwetu wala hautukeri.
Umeandika kwa kupanic mkuu
 
Wakati Puskas inapigiwa kura na mashabiki je unajua wabobezi waliochagua hiyo FIFA XI?
Nani ni mbobezi kati ya fans na waliochagua FIFA XI?narudia tena ukiamua kulaumu usiwe wa vuguvugu na kuchagua makosa ni vema ukayasema yote wapo wanaolalama kwa nini kipa bora hayupo kwenye FIFA XI ila kila mpenda soka anajua ukitamka neno goalkeeper kwa sasa unamaanisha De Gea ni sawa na wewe unalalama Salah kutokuwepo kwenye FIFA XI ila umeshangilia yeye kubeba Puskás award ningeelewa kama ungesema mashabiki wamekosea kumpigia kura kama ambavyo wale wamekosea kutomuweka Salah bora kabisa wa msimu uliopita kwenye FIFA XI tofauti na hapo tunaleta mahaba tu.

James Milner ametoa Maoni Kuhusu Hili na Kusema Kuwa Lile halikushinda Kuwa Ni Goli bora la FIFA Bali FIFA wamempa Kuzima Mijadala na Maswali Mengi Kwa Wadau Wa Soka Baada Ya Kutomueka Kwenye Kikosi Bora cha FIFA.
Akaendelea Kusema Kuwa Wamekurupuka Kiasi ya Kukosea Hata Goli la Kuchagua Katika Hayo Magoli ya Salah Halina Ubora Hata Mbele Ya Magoli Yake Mengine aliyofunga Achiliambali Kwa Dunia Kwa Ujumla.
Mfano Mdogo goli Aliloifunga Roma Kwenye CL pale Anfield lilikuwa Bora Zaidi kuliko hilo walilolibuni FIFA.
 
Ila mwaka huu FIFA wameacha maswali mengi sana yasiyo na majibu.

Kuna mikanganyo kibao.
 
James Milner ametoa Maoni Kuhusu Hili na Kusema Kuwa Lile halikushinda Kuwa Ni Goli bora la FIFA Bali FIFA wamempa Kuzima Mijadala na Maswali Mengi Kwa Wadau Wa Soka Baada Ya Kutomueka Kwenye Kikosi Bora cha FIFA.
Akaendelea Kusema Kuwa Wamekurupuka Kiasi ya Kukosea Hata Goli la Kuchagua Katika Hayo Magoli ya Salah Halina Ubora Hata Mbele Ya Magoli Yake Mengine aliyofunga Achiliambali Kwa Dunia Kwa Ujumla.
Mfano Mdogo goli Aliloifunga Roma Kwenye CL pale Anfield lilikuwa Bora Zaidi kuliko hilo walilolibuni FIFA.

Salah kuwepo kwenye FIFA XI ilikua hakuna mjadala amekua na msimu bora sana amevunja rekodi na kuweka za kwake na ukirudi Afrika bado amesimama kama yeye kwenye awards zote ni mwendawazimu atakaekubali kuona Salah yuko nje ya kikosi kile na hakika wamo wachezaji kadhaa hata haijulikani wamefikaje.
Walichofanya FIFA ni kumnyang'anya Salah kile kikubwa na kumpoza na kidogo kuzima aibu,binafsi naendelea kuamini Salah alitakiwa awe sehemu ya FIFA XI bila kipingamizi kwa heshima ya soka na bado naendelea kusisitiza wamejichanganya kwenye Puskás award na mimi naamini kuwemo FIFA XI kitu ambacho anastahili kungempa faraja zaidi kuliko walichompa ivo naungana na Milner kwenye hili.
 
Ukitaka kuwafaidi Liver, angalia mechi zao ( replays) ukiwa umetulia.
Naangalia alivyomchapa Soto. Salaah ni hatari,Gini, Shakir,VVD
 
Salah kuwepo kwenye FIFA XI ilikua hakuna mjadala amekua na msimu bora sana amevunja rekodi na kuweka za kwake na ukirudi Afrika bado amesimama kama yeye kwenye awards zote ni mwendawazimu atakaekubali kuona Salah yuko nje ya kikosi kile na hakika wamo wachezaji kadhaa hata haijulikani wamefikaje.
Walichofanya FIFA ni kumnyang'anya Salah kile kikubwa na kumpoza na kidogo kuzima aibu,binafsi naendelea kuamini Salah alitakiwa awe sehemu ya FIFA XI bila kipingamizi kwa heshima ya soka na bado naendelea kusisitiza wamejichanganya kwenye Puskás award na mimi naamini kuwemo FIFA XI kitu ambacho anastahili kungempa faraja zaidi kuliko walichompa ivo naungana na Milner kwenye hili.
I conquer with you on this broskie
 
Lkn msimu huu bingwa hadi mechi ya mwisho!
Sioni popte kati ya Liverpool vs Man City wa kumuacha mwenzake points 20+ kama msimu uliopita!
Tumeweza mno kufukia gap lote
Ligi ngumu msimu huu ni Liverpool na Man City!
Kwa mawazo yako unataka kutuaminisha kuwa EPL sasa imekuwa kama la liga au France league one ..kwamba timu mbili tu ndo zinazowania ubigwa na zingine ni zinashiriki tu..

Basi kwa hayo mawazo utakuwa unawakilisha ile methali ya wahenga

"Maskini akipata matarko ...." malizia apo munyewe!
 
Back
Top Bottom