Hii FiFA XI ni kituko tupu wala haina reflection to reality

Yani Courtois hayupo ambaye ndie kipa bora ila De gea ambaye hata ktk 3 bora hakuwepo kuwania tuzo kaingia,Dani alves ambaye hajafanya la maana na alikuwa majeruh kaingia mbele ya Carvjal,Kimmich a disgrace,Mo Salah ambaye kafunga goli nying sana last season na kuwa ktk 3 bora ya Uefa naye hayupo

Disgrace
Mimi hua nawaambiaga watu kua FIFA hua wanakuaga na upendeleo wa wazi kwa wachezaji wa Spain (de gea wa nini?)especially players from Madrid na Barcelona na wachezaji wa america ya kusini especially from Brazil hua nao wanabebwa! kwenye hizi tuzo! sasa alaves wa nini kwenye FIFA first 11?

sometimes hua wana overrate sana LA Liga; ligi ya team tatu!(Atletico madrid,barca na real Madrid) eti ndio ligi Kali na yenye mmvuto! hua nashangaa sana.

kama LA Liga ndio ligi Kali mbona FA ya Spain ina mpango wa kupeleka baadhi ya mechi za laliga zikachezwe marekani? kwanini??

sababu kubwa ili ligi yao iwe na mvuto na ipendwe duniani! maana kwasasa haina ubora wa mvuto!

Perez- president wa Madrid kagoma kasema hata ruhusu Madrid kwenda kucheza mechi za la liga marekani! maana ni aibu!

FIFA ni wapuuzi tu! very corrupt institution!!
 
Hii FiFA XI ni kituko tupu wala haina reflection to reality

Yani Courtois hayupo ambaye ndie kipa bora ila De gea ambaye hata ktk 3 bora hakuwepo kuwania tuzo kaingia,Dani alves ambaye hajafanya la maana na alikuwa majeruh kaingia mbele ya Carvjal,Kimmich a disgrace,Mo Salah ambaye kafunga goli nying sana last season na kuwa ktk 3 bora ya Uefa naye hayupo

Disgrace
kuwa mkweli hata kipofu asingechagua goli la salah kuwa bora kuliko magoli yote , hivyo basi tusiwe na wivu walio ingia fifa pro 11 na hata tuzo aliyopewa Salah kila mmoja kastahili, ila wamezingatia kamsemo ka wazungu" form is temporary but class is permanent " hatuwezi kuibeza nazi wakati embe tunda la msimu .majembe ya fifa pro 11 yapo tu yataendelea kuwepo tu
 
Ungepiga kura goli unalolotaka wewe lingeshinda,me nilipiga kura nakura yangu aikuenda bure mo salah kashinda,link ilitolewa watu wanaojua mpira na kuufatilia wakapiga kura,

Unakuja kulalamika mitandaoni aitasaidia.
Lingeshindaje sasa magoli mnayotaka nyingi na wakati mjayapigia kura wao watajuaje sasa?

Lililopigiwa kura nyingi ndio linapendwa hilo kupiga kura ilikuwa ni mara moja hakuna kurudia,

Kwenye account ya instagram ya Liverpool na fifa link ilikuwepo tukaenda kuvote pale tunaofatilia michezo.

Chukua hiyo kama ulikuwa hujui Mashabiki wa Liverpool siku zote ni active kwenye kuvote,nimashabiki hai kwenye kuisupport timu yao .
 
Juzi tu kapiga assist 2 first half na kupata mabao mawili.

Mkuu, hao wamemsahauje Shaqiri hapo kwenye assists?!

Na mimi sijaelewa hapa tafadhari usikiapo ujumbe huu King Ngwaba

Wakuu Zile Za Xhaqiri Barclay Hawakuzihesabu Kuwa Ni Assists Kwani Hile ya Kwanza Waliihesabu Kuwa Ni Owngoal (OG) Kwahiyo OG haina Assist.
Na Lile Goal alilofunga Salah alichofanya Xhaqiri Kinahesabiwa Kuwa Ni Woodwork na sio Assist.

Kwahiyo Xhaqiri Katika Rekodi za EPL Bado haja-Assist.
 
Sawa. Nikiangalia mechi nyingi za Shakir huwa anafanya woodwork ( kupiga makross makali ambayo mabeki hujifunga, direct kicks, nknk)
Ni kweli shakir nadra kutoa last passes.
 
hobgere
Ungepiga kura goli unalolotaka wewe lingeshinda,me nilipiga kura nakura yangu aikuenda bure mo salah kashinda,link ilitolewa watu wanaojua mpira na kuufatilia wakapiga kura,

Unakuja kulalamika mitandaoni aitasaidia.
Lingeshindaje sasa magoli mnayotaka nyingi na wakati mjayapigia kura wao watajuaje sasa?

Lililopigiwa kura nyingi ndio linapendwa hilo kupiga kura ilikuwa ni mara moja hakuna kurudia,

Kwenye account ya instagram ya Liverpool na fifa link ilikuwepo tukaenda kuvote pale tunaofatilia michezo.

Chukua hiyo kama ulikuwa hujui Mashabiki wa Liverpool siku zote ni active kwenye kuvote,nimashabiki hai kwenye kuisupport timu yao .
Hongereni mashabiki active mgepewa hata nafasi ya kumchagua fifa player of the year mgetoka na Salah uzuri makocha na captains wanaujua mpira,endelea kufutilia michezo, kikosi cha fifa pro11 kimependeza majembe yenye consistency tu Ndio yapo wanaoibuka kama uyoga pori tupa kule
 
Ila Puskás Award umeona iko sawa tu kwa kua ni Salah,nenda kaangalie migoli ambayo ilikuwemo kwenye kinyang'anyiro alafu rudi uwe mkweli kama alistahili.
Tukiamua kukosoa ni vema tukakosoa vyote hata ambavyo vimetubeba sisi ndio sifa ya kua mkweli,nakubaliana na wewe kikosi kina mapungufu pia ila hayakuishia hapo.
Tofauti na tuzo ya Puskas ambayo ni mashabiki wanaamua kwa kura FIFA XI ni tofauti kaka.

Haiwezekani eti Hazard yupo kwenye XI wakati last season kaongoza kwa kutingisha kalio tu viwanjani. Alifanya nini la maana?
 
hobgere

Hongereni mashabiki active mgepewa hata nafasi ya kumchagua fifa player of the year mgetoka na Salah uzuri makocha na captains wanaujua mpira,endelea kufutilia michezo, kikosi cha fifa pro11 kimependeza majembe yenye consistency tu Ndio yapo wanaoibuka kama uyoga pori tupa kule
Akili za kijana wa LUMUMBA hazina tofauti na kifurushi cha jaza ujazwe
 
kuwa mkweli hata kipofu asingechagua goli la salah kuwa bora kuliko magoli yote , hivyo basi tusiwe na wivu walio ingia fifa pro 11 na hata tuzo aliyopewa Salah kila mmoja kastahili, ila wamezingatia kamsemo ka wazungu" form is temporary but class is permanent " hatuwezi kuibeza nazi wakati embe tunda la msimu .majembe ya fifa pro 11 yapo tu yataendelea kuwepo tu

Wewe Hujui Mpira na Ni wazi Kuwa Wewe Ni Mcheza Rede na Si Mjuzi Wa Mpira! Kwa Kujiepusha na Kupigia Mbuzi gita Basi hii Ndiyo Post Yangu Ya Mwisho kukuQuote kwa Jambo hili.

Kosa la Kwanza ulilonalo Ni Kwamba Hujui Ni Jinsi gani Hizi Tunzo za FIFA zinatolewa na Ndiyomana Ukarukia Consistency.
Kaa Ukijua Kuwa Tunzo za FIFA hazitolewi Kwa Misimu Kumi Kwa Pamoja au Kwa Career Yote ya Mchezaji.
Bali Zinatolewa Kwa Msimu Mmoja tu Husika.
Kwahiyo Mchezaji anaangaliwa Kwa Msimu Huu tu Uliomalizika Aliperform vipi? Na wala Haangaliwi Kabla au Baada Ya Hapo.
Kwahiyo Kinachoangaliwa Je Salah Last Season alifanya Nini??? Na Si habari za Consistency Kama unavyozitaja.
Ingelikuwa inaangaliwa Consistency basi Tunzo Alizopewa Modric zote alipaswa Kupewa Ronaldo na Messi Ambao Huu Ni Mwaka Wa 10+ wapo Kwenye Consistency lakini Kapewa Modric ambaye Kapaform Vizuri Mwaka Huu Wa 2018 tu!!!!

Halafu wambie Watu Wakufundishe Kusoma Kuwa Hicho Kikosi cha FIFA Si ALL TIME FIFA FXI, Bali Ni KIKOSI CHA 2017/18 tu. Kwahiyo haijalishi Kabla ya Hapo au Baada ya Hapo Ulifanya Nini!!!!

Kwaheri Mcheza Rede.
 
kuwa mkweli hata kipofu asingechagua goli la salah kuwa bora kuliko magoli yote , hivyo basi tusiwe na wivu walio ingia fifa pro 11 na hata tuzo aliyopewa Salah kila mmoja kastahili, ila wamezingatia kamsemo ka wazungu" form is temporary but class is permanent " hatuwezi kuibeza nazi wakati embe tunda la msimu .majembe ya fifa pro 11 yapo tu yataendelea kuwepo tu
8
 
Dah! Kwa Mashabiki na Wapenzi Ni Furaha lakini Kwa Mchezaji Husika Kiukweli inauma...

Yani Mignolet anatoka Regular Starter (FXI player) mpaka mchezaji Wa Carabao?????
 
Safi kocha, usiishie kwa Mignolet tu! Striker weka Sturridge huku Firmino akibakishwa kwa ajili ya J,mosi. Wide Forwards weka Origi na Curtis/Shaqiri huku kwenye beki waweke Moreno,Clyne, Nathaniel na Matip
 
England captain Harry Kane voted for Cristiano Ronaldo, with Lionel Messi his second pick and Kevin De Bruyne third for the World Player of the Year.
 
Ukitaka kujua liverpool ni ya kawaida sana na wachezaji wa kawaida angalia kikosi cha wanaume 11 waliopigiwa kura
Hata kisalah wamekichinjia baharini
 
Tofauti na tuzo ya Puskas ambayo ni mashabiki wanaamua kwa kura FIFA XI ni tofauti kaka.

Haiwezekani eti Hazard yupo kwenye XI wakati last season kaongoza kwa kutingisha kalio tu viwanjani. Alifanya nini la maana?

Wakati Puskas inapigiwa kura na mashabiki je unajua wabobezi waliochagua hiyo FIFA XI?
Nani ni mbobezi kati ya fans na waliochagua FIFA XI?narudia tena ukiamua kulaumu usiwe wa vuguvugu na kuchagua makosa ni vema ukayasema yote wapo wanaolalama kwa nini kipa bora hayupo kwenye FIFA XI ila kila mpenda soka anajua ukitamka neno goalkeeper kwa sasa unamaanisha De Gea ni sawa na wewe unalalama Salah kutokuwepo kwenye FIFA XI ila umeshangilia yeye kubeba Puskás award ningeelewa kama ungesema mashabiki wamekosea kumpigia kura kama ambavyo wale wamekosea kutomuweka Salah bora kabisa wa msimu uliopita kwenye FIFA XI tofauti na hapo tunaleta mahaba tu.
 
Ukitaka kujua liverpool ni ya kawaida sana na wachezaji wa kawaida angalia kikosi cha wanaume 11 waliopigiwa kura
Hata kisalah wamekichinjia baharini

Inamaana hujui kuwa POSITION anayocheza Salah ndio hiyo hiyo position anayocheza Messi au?

Mwaka huu lazima Liverpool iwazibe midomo na mtapata tabu sana, timu inamtegemea Hazard ambae sijui kama amewahi kufikisha goli 15 za ligi kwa msimu na hapo bado hujaongezea kuwa yeye ndio mpiga penalty anaeachiwaga apige matuta yote
 
Sasa kama messi ni bora kuliko salah ilikuaje kwenye tatu bora akaingia salah
 
Back
Top Bottom