Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jurgen Klopp has unshakeable confidence.
Ameshasema Tafuta Hoteli kabisa huko Instambul kwa ajili ya Fainali ya Next season
20220529_110133.jpg
 
This applied to all
1) Chelsea
2) Manure
3) Arsenal
4) Liverpool

What did they get in the last seven seasons? But for those dumb asses football (Plastic) fanboys think only Liverpool competed for the last seven seasons.

Pathetic fools
Leo mtaongea hadi kisambaa dadeki! lakini ukweli unabaki palepale kuwa Madrid ni babalenu nyinyi nikuku tu, na mtabaki kuwa kuku.
 
Real Madrid Undisputed Winner 🏆 14

Kuvaa Jezi ya Real Madrid kama mchezaji ni heshima kubwa sana ya kujivunia maishani.

Sijui ilikuwaje Barcelona ikapenyezwa ionekane kuwa kila Mchezaji ana ndoto ya kuichezea Barcelona kama Real while Barcelona ni rubbish tu.

So sorry to Mbappe! He could earn more and more money at Madrid pamoja na heshima
 
Mechi ya jana tuliingia uwanjani na visasi zaidi kuliko akili.
Wachezaji badala ya kuwa Calm na kifocus kwenye how to win a trophy badala yake wamefocus kwenye how to pay back them for what they did to them in 2018.
Next Klopp must control this
Next wapi mwakani hufiki fainali.

Ukijitahidi sana robo fainali.
 
Real Madrid Undisputed Winner 🏆 14

Kuvaa Jezi ya Real Madrid kama mchezaji ni heshima kubwa sana ya kujivunia maishani.

Sijui ilikuwaje Barcelona ikapenyezwa ionekane kuwa kila Mchezaji ana ndoto ya kuichezea Barcelona kama Real while Barcelona ni rubbish tu.

So sorry to Mbappe! He could earn more and more money at Madrid pamoja na heshima
Teeh teeh.

Umesokomezwa jiti kunako na Vini hasira uzimalizie kwa kuichukia barca.

Mashabiki wa liverkuku wazee wa imagine being ass mmevurugwa kwelikweli hamjui hata muandike nini kuhusu kufungwa kwenu jana.

Umebaki kuiona barca takataka utafikiri jana ulifungwa na barca.

Punguza hasira mzee wa quadruple ya mchongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom