Sikudokoa Mboga yako
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 462
- 953
Bahati ndo kitu gani? Watu wanakaza makalio wewe unaita bahatiMzee haya mambo sometimes hua ni bahati tu
Mpira tumecheza haswa,tumeshambulia, tumekosa magoli sio kizembe ni bahati tu ilikua upande wao, sijaona mapungufu ya timu kwa ujumla
Madrid wamepata nafasi moja ikawa goli, sisi tumepata nafasi kibao ila hatukua na bahati ya kupata goli



















labda best makalio
Wewe mdada hunyamazi?Salah aliitaka Madrid, haya kapewa,
Na hapo Ramos vs Ronaldo hawapo. Woiiiiiiiih
Poyeee😂😂😂
Mnajionaga special sana kenge nyinyi....Sisi tumetolewa fainali, na tuliingia fainali je' nyie?
Tukamwombe msamaha Magwaya....Mzee haya mambo sometimes hua ni bahati tu
Mpira tumecheza haswa,tumeshambulia, tumekosa magoli sio kizembe ni bahati tu ilikua upande wao, sijaona mapungufu ya timu kwa ujumla
Madrid wamepata nafasi moja ikawa goli, sisi tumepata nafasi kibao ila hatukua na bahati ya kupata goli
Real Madrid kawafunga top three wote EPL msimu huu.Sisi tumetolewa fainali, na tuliingia fainali je' nyie?
Unashindwa kupata hata goal moja kwa hiyo defence ya madrid?Hujaangalia mpira,sio nyie wa kufungwa 5![]()
Unajua hizi mbanga baada ya kutupiga zile final mbili Basi wakajua kila kitu Ni maji Basi kazi Yao Ni kunywa tu ..Sasa Jana wamekutana na sifongo😂😂(kamulize Yesu sifongo Ni Nini) hahahahaDon't underrate yourself dude penalty hazina mwenyewe remember you played two finals and on those two finals Liverpool failed to score a single goal against Chelsea katika open play.
Ni aibu kubwa Sana kuchabangwa na timu moja hatimaye kuwa bingwa.Real Madrid kawafunga top three wote EPL msimu huu.
1.Man city
2.Liverpool
3.Chelsea
Fainali tatu hakuna goli hata moja.Inafikirisha kidogo kuhusu attacking ya Liverpool.Ishu sio kuchomesha. Ishu kwanini mlishindwa kufunga magoli?
Ingekuwa Ni mademu Basi wote wameliwa na mshikaji mmoja cool halafu player kinoma 😂😂😂Real Madrid kawafunga top three wote EPL msimu huu.
1.Man city
2.Liverpool
3.Chelsea
Ndio maana tunasema hii liver haikuwa Ni fainali materials Basi tu penalties hazina mwenyewe ..kwa maana tukiangalia two finals vs Chelsea, Basi liver ana wachezaji wenye uwezo wa kubadili matokeo muda wowote ule ..tofauti na Chelsea yenye Pulisic naa Ziyech ambao sio game changer ..but matokeo tunaona liver anashinda kwa penalties. Ndani ya dkk 90 uwanjani haziwatoshi kuamua kuwa mabingwa.Fainali tatu hakuna goli hata moja.Inafikirisha kidogo kuhusu attacking ya Liverpool.