Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 2242096

😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Class act.
Elite.
Fabulous
Best from UK
Simply the best.

7th is loading big time. May the winning angels be with us.

YNWA
Pole Sana mkuu mumekutana na kitu kizito ..tukutane Tena nest sezon ..huu msimu mulijihakikishia ushindi kabla ya mechi ..lakini siyo kila mechi Ni ya kushinda.😀😀😀
 
View attachment 2241781View attachment 2241782
Vini Kama Vin Jr ...Waliverpool hawatamsahau kijana huyu kutoka Tukuyu mbeya😂😂😂😂
 
Shwaini kabisa,
Jogoo anakutana na inter-villareal-benfica mpk anafika fainali

Afu ana kwambia
"To reach final wasn't easy"
IMG_20220529_020546.jpg
 
View attachment 2239111

Ila mpira jamani yaaani tazama kikosi cha Carlo Ac Milan kilivyosheheni wachezaji wa nguvu sana lakini Liverpool wenye kiu ajabu wenye kujituma vilivyo wakashangaza dunia.

Hii ndio raha ya Liverpool kwamba never say never. And Never Say Die.

YNWA
Nini kimewakuta sasaa mkuu😂😂😂
Tatizo mulijiamini Sana Yani ..poleni kwa kweli.
 
Nimegundua,wanaoiponda Liverpool ni form four leaver na wengi hawajui mpira.wasomi wanaojua mpira wangetupa what next na maboresho ya timu yetu.YNWA
 
Tukubali tu.Real Madrid kwenye haya mashindano ni giant, Ki technique yuko vizuri jumlisha timu za Spain bado ni bora kulinganisha na timu za England.
.Hakuna cha bahati wala porojo nyingine hapo.
Madrid kazigonga timu 3 za England kwenye UEFA mSimu huu,

Chelsea, manctiy na Liverpool afu mtu anakwambia zote ilikua Ni bahati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom