Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Umedhibitisha wewe ni dhaifu mbele ya Madirid. Mwaka 2018 ulipigwa ..ukasema una Carius golini ..saivi una Allison na Madirid hii dhaifu amekukula.

Sisi Chelsea tungekuwa na experienced players Kama Modric, Kroos aise huu msimu mungetoka kapa.

FA na CARABAO makombe ya mbuzi.
Mtu mzima kujisifia umebeba carabao kwapani ni fedhea ya Hali ya juu mno
 
Siku zote nasema Liverpool anacheza Europa ...


Yanakalia hapa kupongezana ujinga et kumtoa benefica ,villareal fala Sana ....

Leo kina fabi ,Salah ,mane walikuwa wanapumua pumzi ya moto
 
Kuna matapeli eti maprofesa wa neurology, dah hadi ulaya upigaji upo? Trent krosi leo kapiga kama kapombe
 
Mzee haya mambo sometimes hua ni bahati tu
Mpira tumecheza haswa,tumeshambulia, tumekosa magoli sio kizembe ni bahati tu ilikua upande wao, sijaona mapungufu ya timu kwa ujumla

Madrid wamepata nafasi moja ikawa goli, sisi tumepata nafasi kibao ila hatukua na bahati ya kupata goli
Haya ndo matatizo ya Kijiji kukosa wazee,
Timu yenu nzima ilujaa vitoto
 
Imagine
Screenshot_20220529_012720.jpg
 
Mtu mzima kujisifia umebeba carabao kwapani ni fedhea ya Hali ya juu mno
Sisajuaga kabisa unashabikia tim gani, maana Arsenal, Liverpool, Chelsea, Man city, Man u huwa unaziponda fulani hivi, mkuu au unashabikia Norwich?
 
et ndo rivenjii lipuli bana nyie mmeishndwa chelsea mngeiwezahe madrid
IMG-20220529-WA0002.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom