Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni aibu kubwa Sana kuchabangwa na timu moja hatimaye kuwa bingwa.
Aise timu za Spain ni bora kuliko za EPL.

Moto tu alio pelekewa man city dhidi ya A.madrid,hatari sana.

Ule moto wa Villarreal dhidi ya Liverpool first half ilikuwa noma.

Madrid kaja kuonesha ubora zaidi.

ATTACK WINS YOU GAMES,DEFENCE WINS YOU TITLES
 
Walianz
Wazee wa quadruple ya mchongo.

Mpaka mda huu wamelala.

Sijui wana raha gani hawa liverkuku.

Wazee wa imagine being ass

Vini kasokomezea ndani bila kujali maumivu watakayoyapata.

Ebu niitie mashabiki wake tuje tupate vingereza na uchambuzi wa hapa na pale.
Walianza kutupanda kichwani Hawa kuku ..Sasa vishingo vimekatwa wanatembea na kiwili wili tu 😂😂😂😂🤣🤣
 
Daah.Ina uma sana
IMG_20220529_093436_868.jpg
 
Always be humble. Mlishaanza kuwa na kelele kama mashabiki wa Man United
 
Real Madrid kawafunga top three wote EPL msimu huu.

1.Man city
2.Liverpool
3.Chelsea
Ingekua ni timu ya EPL imefanya hivi kwa Laliga ungesikia huo mdomo ungepigwa.. Honestly EPL imejaa hypocrisy ya hali ya juu. Maneno mengi mno.. Ukiwasikiliza wachambuzi unaweza kusema kuna la maana sana huko EPL..

Imagine ingekua ingekua ni EPL team imefunga mabingwa wote wa ligi kubwa tano kama walivyofanya Madrid msimu ule wanampiga bingwa wa German, EPL, France na Itali..

Imagine EPL team ichukua 3 consecutive UCL...

Mngetembea uchu huko barabarani.
 
Chelsea alifanya hivyo msimu uliopita
 
Nadhani huu uzi wa Liverpool ni watu wanajadiliana team yao kwa mazuri na mabaya sasa hawa wanaacha uzi wa team zao kutwa wanashinda humu kuongelea Liverpool inaonesha sisi ni kama maji utayanywa tu.
Hapa tutapiga kambi week nzima nahamtufanyi kitu mkitaka mtuuwe. Mnakelele sana mashabiki wa Liverpool hadi mnakera.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom