Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Walifikili ile ni Spurs 





Final 4..
Kashinda moja ...
Sasa huyo ni manager au kilaza






Final 4..
Kashinda moja ...
Sasa huyo ni manager au kilaza


















Mzee utakuja kufaa mapema achana na hili genge la wahuniYNWA![]()






Cheki huu mkojo wa mlevi ..hayo maakombe ya mbuzi hayana maana yeyote mbele ya UEFA 😂😂😂MATAHIRA YA EPL BHANA ETI HII KENGE IMEMALIZA BILA KOMBE LOLOTE ILA ANAMCHEKA LIVERNYETO MWENYE FA NA CARABAO.
HALLA MADRID.
Hahahahahahaha dah aise ..Kuna wakati muna maneno ya kuifanya unywe sumu😂😂😂😂😂Liverpool kama baiskeli ya kunolea visu kelele nyingi lakini iko hapohapo
Saiv umehamia madrid?Cheki huu mkojo wa mlevi ..hayo maakombe ya mbuzi hayana maana yeyote mbele ya UEFA
Sisi ni mabingwa wa dunia bado.
#HalaMadirid




Kuku kawa bata, sasa hivi ni mwendo wa kuharisha tu.Kwadriple nyenyenyenyenye![]()
Ndio maana yakeleo ndo bahati haikua kwenu eeeh?
😂😂😂😆wachovu wamo wote humu leokazi kwelikweli, nao wamekuja kuchangia mambo ya UEFA.
Bora ubanduliwe huku chini robo, semi final ..lakini fainali dah hapana ..vumilia ndio maisha😀😀😀😀Nyie hamkubanduliwa?