Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Hawa vinabo wanaenda kufanya parade na Micky mouse cup 






Lini mtu akichukua fa au carabao anafanya parade ?














Lini mtu akichukua fa au carabao anafanya parade ?























tabu ipi mmewapa? kushindwa kuscore hata goal moja ndio tabu mliyowapa?Wabovu wote hao,mnaongozaje goli 3 fainali,zinarudi zote kizembe?
Wametufunga lkn wamepata taabu hata nyie mmeona
Chakushangaza hadi Arsenal wapo humPambaneni na timu zenu,hali zenu ngumu mmejaa humu
Bahati imeangukia kwao, sio kwamba wapo vizuri



Madrid ni klabu bora dunianiReal Madrid wamezifunga hizi timu hadi kuwa bingwa wa UCL tena kwa shida isipokiwa Livakuku
PSG mabingwa wa Ufaransa
Chelsea mabingwa watetezi wa UCL, Dunia, na mshindi nafasi ya tatu EPL
Mancity bingwa wa EPL
Liverpool Carabao, FA na mshindi wa pili wa EPL
So....
For sure. Mikono ya Courtois imepeleka kombe Madrid.Ubingwa wa Real Madrid umeletwa kwenu kwa hisani ya T. Courtois
Sisi tumetolewa fainali, na tuliingia fainali je' nyie?Tatizo lilianza pale Liverkuku mlipodhani kwamba PSG, Chelsea na Man City wote wabovu![]()
Nyie mnaoelewa mmefika ngapi msimu huu? Maana sisi tumefika fainali tatu.Nyinyi Kunguru mnaelewa maana ya fainali?









Eti hawako vizuri, kabla ya kufika finali Madrid amekutana na timu zipi alafu linganisha nawewe timu ulizokutana nazo hadi unafika fainali,kwakifupi Liverpool ulipita vichochoroni ulipoibuka tu umekuta mwanaume anakusubiri, umepigwa nakitukizito.Pambaneni na timu zenu,hali zenu ngumu mmejaa humu
Bahati imeangukia kwao, sio kwamba wapo vizuri
Hamna kisingizio chochote. Tumepoteza game. Ufanisi wetu wa umaliziaji ulikuwa chini na ubora wa Courtois ulituhukumu.Leo Ramos hayupo
Salah kacheza hadi mwisho
Karius hayupo golini yupo GK class
Hamna visingizio leo
Mzee haya mambo sometimes hua ni bahati tuBinafsi naona hatukuwaheshimu Madrid hatukujifunza kwa PSG city na Chelsea kupitia timu hz klopp ilibid apate somo kwann timu zile ngumu zilitolewa na Madrid
Tumefunguka Sana huku wenzetu wakicheza kwa tahadhar kubwa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app







Wakati wewe size yako ikiwa ni top three.Mpira umeisha
Carabao na FA ndio size yenu












