Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ukiona mtu mzima analiaaaa
Screenshot_20220529-114502.jpg
 
Teeh teeh.

Umesokomezwa jiti kunako na Vini hasira uzimalizie kwa kuichukia barca.

Washabiki wa liverkuku wazee wa imagine being ass mmevurugwa kwelikweli hamjui hata muandike nini kuhusu kufungwa kwenu jana.

Umebaki kuiona barca takataka utafikiri jana ulifungwa na barca.

Punguza hasira mzee wa quadruple ya mchongo.
 
Uzuri wa mpira mechi ya mwisho ikiisha tu maandalizi ya mwakani yanaanza tunaaumia lakini siku mbili tunasahau tunaanza kujenga team furaha inaanza tena. Kuna watu inabidi waondoke Liver hata Mo kwa sasa kama hataki au Mane ni sawa tu hii ni Liver lazima ijengwe na wachezaji wenye kutaka kubaki katikati lazima tuongeze play maker kijumla msimu haujawa mbaya japo kama team tunataka kushinda kila game. Tujipange next season ambao utakuwa strange season na hii world cup kuingilia league kubwa duniani itakuwa tofauti kwa maana hata maandalizi yatakuwa tofauti sana sijui nini kitatokea je kutakuwa na two pre-season hata sijui itakuwa namna gani na hii kombe lao la dunia.
Sasa hivi mambo yamebadilika sana ili kuchungua ubingwa wa EPL au UCL inabidi timu iwe na mentality ya kushinda kila mechi inabidi tiwe iwe na mentality ya Ugiant kama ilivyo Bayern Munich kupiga vitimu vyote nyumbani na ugenini. Na hili linawezekekama EPL, Guardiola ameproove hili kwa kutupilia mbali mambo ya kusema sijui EPL ni ngumu,sijui kushinda mechi karibia zote ni ngumu yeye hakujali hilo kwahiyo amejitengenezea Ugiant England. Liverpool inabidi muepukane na utamaduni wa kugawana na point na hizi timu mnazoziita top six ndo mchukue ubingwa, msimu huu mlikuwa vizuri sana lakini mkashindwa kuchukua point angalau tatu kwa City, Tottenham na Chelsea. Hamuwezi kuchukua ubingwa kwa kutegemea timu nyingine zimsimamishe mshindani wenu ili nyie mtwae ubingwa.
 
Tatizo hii timu mulijiamini Sana hasa baada ya kubeba tukombe tuwili twa uji ..Tena kkwa mbeleko za penalties Basi mukadhani maisha yatakuwa hivyo hivyo vs Madirid hahaha ..aise Ni bora ungekosa ivi vikombe vya uji kuliko li UEFA, ivi unajua ile feelings za kubeba UEFA zilivyo??! Achana na Qarabao na Fa ..mumekosa kombe kubwa Sana ..ninyi ni dhaifu mbele ya Madirid..fainal mbili UEFA zote kakuchapa.
Liverpool kwa Madrid huwa ni wachumba tu, we fikria mwaka jana Madrid ilivyokuwa mbovu lakini ilimtoa Liverpool robo fainali kwa agg ya 3-1, hapo ndo nilisema Liverpool ni wanyonge wa asili kwa Madrid.
 
Unajua hizi mbanga baada ya kutupiga zile final mbili Basi wakajua kila kitu Ni maji Basi kazi Yao Ni kunywa tu ..Sasa Jana wamekutana na sifongo(kamulize Yesu sifongo Ni Nini) hahahaha
Liverkuku ni washindi wa penalty, bila ya penalty hizi kuku haziwezi kushinda kombe lolote.
 
Mkuu nilichokiona pia yaani kuna wachezaji Lazima waondeke pale Liverpool,kama keita,Henderson,ox halafu naona kama Klopp mechi moja zinamshinda sana.
Ma pedestrians pale tunao wa kutosha, ingekua powa sana FSG wawateme wafuatao hata bure maana ni mizigo
1) Ox
2) Keita
3) Milner
4) Henderson

Tunahitaji AM mmoja matata wa kupasua deep laying teams kama jana Real Madrid defended in numbers kiasi hakuna pasi ya kuwachana ilipenye ki urahisi. Pale anahitajika Debruyne mmoja wa pasi mswaki maana Thiago sio AM yeye ana dictate tempo kati kati while huku kwenye D tunakua toothless nje ya 18 hatuna magoli ya kutosha.

All in all nampa big up kipa wa Madrid jana alionyesha uwezo bora sana.

YNWA
 
Fainal mbili unapoteza mbele ya Madirid. Hata ile ya 2019 vs Spurs ungekutana na opponent mgumu ingekuwa habari nyingine. Ninyi siyo fainal materials, hamuwezi kuamua ushindi ndani ya dkk 90.
Aiseee naona umeimbuka kwa bwebwe zote...

Haya ndugu wewe faino materio hujakutana na huyo Real Madrid msimu huu tena mara mbili?? Na ukaambulia kipigo safiii bila ubishiiii.

Sio Chelsea, sio Manchester City mwenye mdomo mbele ya Real Madrid wote tumepigika roho safiiiiii bila majibu

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom