lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,694
- 25,910
Real Madrid wamezifunga hizi timu hadi kuwa bingwa wa UCL tena kwa shida isipokiwa Livakuku
PSG mabingwa wa Ufaransa
Chelsea mabingwa watetezi wa UCL, Dunia, na mshindi nafasi ya tatu EPL
Mancity bingwa wa EPL
Liverpool Carabao, FA na mshindi wa pili wa EPL
So....
PSG mabingwa wa Ufaransa
Chelsea mabingwa watetezi wa UCL, Dunia, na mshindi nafasi ya tatu EPL
Mancity bingwa wa EPL
Liverpool Carabao, FA na mshindi wa pili wa EPL
So....