Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 6,156
- 7,807
Wallah Origi kamprove wrong Kloop. Huyu jamaa klopp alikuwa amwamini kabisa. Kuumia kwa salah imekuwa faraja kwetu. Pia kuumia kw captain imetusaidia sana.
Kweli maajabu yapo duniani.
Ukisikia uchawi ndiyo huu sasa... Yaani kweli mwanaliverpool unashangilia kuumia kwa Salah au Captain.
Hata hiyo jana kazi ya captain hukuiona?

